Fanya hivi uwe na mahusiano imara only men

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,262
Reaction score
2,184
Habarini wanajukwaa

Leo nimeamka na roho ya huruma kuwahurumia wanaume wenzangu wanaoteswa na wanawake hivyo nikaona ni share vitips viwili vitatu vya kuwafanya waenjoy mapenz kama mimi maana ndoa imekua tamu kama niko peponi mwezenu naenjoy

Twende kwenye mada

Kwanza anzia kwako uwe smart msafi kuanzia mwilini mpaka nguoni hapa sio kuvaa madude ya gharama la hasha ilapangilia unadhifu wa nguo hii itanfanya ajivunie wewe maana ukiwa na mwanamke swali lake la kwanza mashoga zake watasemaje kuhusu wewe wakisema your not match au good enough bas anaweza kuish na wewe na kutafuta wa kuwaridhisha mashost zake akili zao zipo kwa kina udugu wao

Pia usafi wako muhimu sio korodise zimejaa ukoko zinanula kama gar la taka mzee wanawake wavumilivu na wanafiki wataish na wewe kishingo upande lakin hakupi yote kua msafi maana kuna mwamba sijui mzambia alikua na tabia akienda choon kukata gogo haend na maji wala tishu daah baby wake alikua analalamika sanaaa harufu ya nyaa usiku wa manane.

Ukishakua smart la pili mpe vihela tu bila kukuomba we jitie kimbele mbele baby nywele mbona hujasula kabla hajajibu toa elf kadhaa mpe siku mtumie visent bila taarifa hii itajenga ulemavu kwake na kutotaka kukuacha au ataogopa akikuacha utachukuliwa bas atakua na wivu na mtiifu kwako balaa mpe kutokana na uwezo wako isikuathir ukipata laki mbili mpe elf 20 lakin ficha hela zako hawa waba tabia wakioma hela wanaanza matumiz ya kukidh mapenz yao yaan watakuletea mahitaji ya vitu vya ajabu mara wanja wing chupi viatu huku hivyo vitu anavyo ndio narud pale pale akili zao zipo kwa marafiki zao yaan mashoga zao kisa shoga yake ana chup mpya au wig na yeye atataka awe nayo

Namba tatu piga shoo mikuno iwe ya maana sanaa kama una tatizo la nguvu njoo inbox nikupe namna ya kua mtur on bed mke atulie

Ndoa nying zinazoyumba ziliyumba kutokana na sababu hizo hapo juuu watu mpaka wanauana kisa mambo hayo juu
 
Ukweli mimi huwa namkubali sana yule jamaa anayesema hayanaga muongozo
 
Amka unywe chai man kuna kina mtume wa Mungu waliingizwa chaka na madem ww uje uwajulie hawa 🤣🤣hao ni nyoko shukuru Mungu tu umepata alie tulia unaweza ukawa msafi ukahonga mpaka range ila ukakuta anakandamizwa na muuza mkaa ,???
 
Wewe kwanza kijana, huwezi kumridhisha kila mtu.
Mpaka unafikia hatua hiyo ushafeli jombi, hawatabiriki hawa.
 
Mimi sio mwanaume kama Uzi ulivyoeleza ila HELA NDIO HAICHUKIWI UKIWA BINADAMU TEGEMEA LOLOTE alafu naona Hilo husiano lako unalowashauria wenzio ni la form 4 maisha ni zaidi ya hayo mambo 3 uliyoyataja
 
Nimefanya research miaka ming nimeona udhaifu upo maeneo hayo mapenz yalinitesa sanaa sasa niko kwenye ndoa mwaka wa 11
 
Hapo kwenye kumpa Vihela automatically utakuwa attached siku akikutenda utaumia
No ukiimpa anakua bega kwa bega na wewe hata ukimwambia sina anakuelewamda mwingine anamatatizo yake sio mpaka akuambie
 
Amka unywe chai man kuna kina mtume wa Mungu waliingizwa chaka na madem ww uje uwajulie hawa 🤣🤣hao ni nyoko shukuru Mungu tu umepata alie tulia unaweza ukawa msafi ukahonga mpaka range ila ukakuta anakandamizwa na muuza mkaa ,???
Ishu kubwa kumtuliza ndoa iwe na furaha na aman kama akichepuka bila kukuonesha wala kukudharau bila wewe kujua haina madhara kwako kikubwa iwe unapata furaha ufurahie ndoa
 
GenZ akili vipepeo tu na kutoa vibe tafuteni pesa
Na ukipata pesa utaitaji mwanamke tu hata ukijenga nyumba bila kuwela mwanamke nyumba haijakamilika hiyo ndio starehe ya kila mwanaume ni lazima
 
🎶vijana msilaleeeee lalee laleee

Vijana msilaleeeee

Bado mapambano🎶

Mwingine mwenye ushuhuda aje Huku mbele
 
Usiridhishe kila mtu ridhisha mke wako tu
Jiridhishe wewe tu, fanya vilivyo ndani ya uwezo wako. Usijitese ili kumfurahisha yeye.

Majuto huwa makubwa sana sana, uwezo wa kusimamia kucha huna, una kibamia, utataka upate tango umridhishe yeye, utatafuta hata njia zisizosahihi kiafya ili tu upigw show kali bibie aenjoy mwisho wa siku unaharibikiwa.

Kila kitu fanya kwa kiasi kwa kadri ya uwezo wako, kama unaona yupo juu ya uwezo wako tafuta wa kuendana na wewe.
 
Back
Top Bottom