Fanya maamuzi sahihi kuhusu upande utakaokuwa tarehe 29

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Pande ni mbili tu. Uwe mpiga kura au mwandamanaji haramu. Uamuzi ni wako. Ukiwa mpiga kura utaenda kituoni na kupiga kura kisha kurudi kwako kwa amani. Ila ukiwa mwandamanaji haramu utakutana na polisi wakiwa tayari kukuzuia kufanya huo upuuzi. Waandamanaji haramu wenye bahati wanaweza rudi nyumbani wakiwa salama. Wale wasio na bahati wataishia kukamatwa na kufikishwa mahakamani. Wale wenye nuksi watapata ulemavu wa muda mfupi au wa kudumu. Wale wenye gundu watapata tiketi ya kwenda kuoanana na mizimu ya kwao. Kimsingi kuandamana siku ya uchaguzi kunaambatana na hatari nyingi.

Ninalitakia kila la heri jeshi la polisi linapoenda kuwashughulikia wote watakaojihusisha na maandamano haramu siku ya tarehe 29. Itakuwa siku nzuri kujua kama kodi za wananchi zimetumika kununua virungu vyenye ubora unaotakiwa na TBS.
 
Wauaji tutawakuta vituoni huko ndiko tutamalizana. Uvunjifu wa amani sasa basi
 
Gen Z, nipitieni mapema tu Babu yenu siku hiyo ya tarehe 29. Nitakuwa upande wenu.
 
Pande ni mbili tu. Uwe mpiga kura au mwandamanaji haramu. Uamuzi ni wako. Ukiwa mpiga kura utaenda kituoni na kupiga kura kisha kurudi kwako kwa amani. Ila ukiwa mwandamanaji haramu utakutana na polisi wakiwa tayari kukuzuia kufanya huo upuuzi. Waandamanaji haramu wenye bahati wanaweza rudi nyumbani wakiwa salama. Wale wasio na bahati wataishia kukamatwa na kufikishwa mahakamani. Wale wenye nuksi watapata ulemavu wa muda mfupi au wa kudumu. Wale wenye gundu watapata tiketi ya kwenda kuoanana na mizimu ya kwao. Kimsingi kuandamana siku ya uchaguzi kunaambatana na hatari nyingi.

Ninalitakia kila la heri jeshi la polisi linapoenda kuwashughulikia wote watakaojihusisha na maandamano haramu siku ya tarehe 29. Itakuwa siku nzuri kujua kama kodi za wananchi zimetumika kununua virungu vyenye ubora unaotakiwa na TBS.

Hoja yako umeiweka kama mtu aliyerukwa akili. Ungekuwa na akili, ungeiweka hoja yako kwa mtindo ufuatao:

1. Kama wewe unaungana na mashetani yanayoua na kuteka watu, utaenda kupiga kura kubariki ushetani wa kuteka na kuua watangamyika, uendelee; kisha utarudi nyumbani?

2. Kama huungi mkono ushetani unaoendelea wa kuteka na kuua watu, utaenda kuandamana au utalala tu nyumbani?
 
Back
Top Bottom