Fanya starehe lakini usisahau kutenga bajeti ya ujenzi

Fanya starehe lakini usisahau kutenga bajeti ya ujenzi

Tunakumbushana tu wadau hasa vijana. Starehe na maisha.

Fanya kazi kwa bidii, kula bata kiasi kisha tenga bajeti ya ujenzi. Hiyo ndio siri ya mchezo.

Mbao zipo, ukihitaji tutafute, tutakuuzia kwa bei rafiki utimize lengo.

Wikiendi njema!
Acha tule bata wewe, nyumba za urithi zipo tutabanana humo humo
 
Back
Top Bottom