Fanya starehe lakini usisahau kutenga bajeti ya ujenzi

Fanya starehe lakini usisahau kutenga bajeti ya ujenzi

Tunakumbushana tu wadau hasa vijana. Starehe na maisha.

Fanya kazi kwa bidii, kula bata kiasi kisha tenga bajeti ya ujenzi. Hiyo ndio siri ya mchezo.

Mbao zipo, ukihitaji tutafute, tutakuuzia kwa bei rafiki utimize lengo.

Wikiendi njema!
Kwani kujenga ni kwamba mtu kayapatia maisha Mimi nilifikiri ungezungumzia kufanya investment kwasababu investments ndio kila kitu kwenye maisha
 
Kwani kujenga ni kwamba mtu kayapatia maisha Mimi nilifikiri ungezungumzia kufanya investment kwasababu investments ndio kila kitu kwenye maisha
Sisi ni wadau wa ujenzi. Katika mnakasha huu tunaeleza umuhimu wa umiliki wa nyumba kwa maisha binafsi. Nyumba ni hifadhi. Maisha sio biashara peke yake.
 
Tunakumbushana tu wadau hasa vijana. Starehe na maisha.

Fanya kazi kwa bidii, kula bata kiasi kisha tenga bajeti ya ujenzi. Hiyo ndio siri ya mchezo.

Mbao zipo, ukihitaji tutafute, tutakuuzia kwa bei rafiki utimize lengo.

Wikiendi njema!
Bongo Kuna starehe basi?
 
Wakuu nimeamua kila mwezi kwenye mshahara wangu ni weke laki nne je nitaweza kujenga?
Laki nne nyingi Sanaa. Mimi mwaka 2012 nilikua naweka laki 2 kwa mwezi. Hadi 2017 nilikua nimebakisha finishing ndogo ndogo. 2018 nikachukua mkopo 15M 9M nikamaliza Kila kitu 6M Nikamvua mtu RAUM namba D Maisha yanasonga
 
Karibu sana. Huduma zetu zipo Dar es salaam.

Mbao za futi 20
2×4 futi 750
2×2 futi 350
1×8 bei 14000
1×10 bei 17000

Mbao za futi 12
2×4 bei 5800
2×2 bei 2900

Kwa maelezo zaidi tucheki kwenye namba hii 0782 425190.

Karibu mkuu.
Mna ruhusu mtu kuja na FUTIKAMBA yake ama lazima atumie ya kwenu??!
 
Back
Top Bottom