Mbao Tanzania
Senior Member
- May 31, 2021
- 170
- 215
Mbao tamu sana hasa ukizitumia kusimamisha mjengo wako mwenyewe.Bia tamu.
Mbao tamu?
Pamoja. Ngoja tuzisake Man.Mbao tamu sana hasa ukizitumia kusimamisha mjengo wako mwenyewe.
Pambana ndugu yetuPamoja. Ngoja tuzisake Man.
Ili tuishi vizuriHii dunia tutaiacha Sasa wewe unataka kuipendezesha ili iweje
Acha tule bata wewe, nyumba za urithi zipo tutabanana humo humoTunakumbushana tu wadau hasa vijana. Starehe na maisha.
Fanya kazi kwa bidii, kula bata kiasi kisha tenga bajeti ya ujenzi. Hiyo ndio siri ya mchezo.
Mbao zipo, ukihitaji tutafute, tutakuuzia kwa bei rafiki utimize lengo.
Wikiendi njema!
Tunapita na kurithishana vizazi kwa vizazi. Walipita wengi, wengine tupo, tutaondoka watakuja wengine.Mi najua dunian tunapita wanao jua watadumu daima waendelee kujenga
Tunakumbushana mambo muhimu mkuu [emoji16]Kwa tangazo lilivyo zuri, ungepewa tenda ya kudesign jezi za Simba zingekua nzuri zaidi
Sio wote wana nyumba za urithi sasa mkuu [emoji69]Acha tule bata wewe, nyumba za urithi zipo tutabanana humo humo
Hao watakao kuja watapambana kama Mimi ninavyo pambana kama sikuachiwa urithi basi nao watajitafutia vyao kwa wakati waoTunapita na kurithishana vizazi kwa vizazi. Walipita wengi, wengine tupo, tutaondoka watakuja wengine.
TUISHI.
Ndio sababu tunasisitiza tupambane, tule bata, tujenge, tuishi.Hao watakao kuja watapambana kama Mimi ninavyo pambana kama sikuachiwa urithi basi nao watajitafutia vyao kwa wakati wao
Muhimu sana. Ukimaliza ujenzi bado kijana kuna raha yake. Unakula bata ukirudi upo kwako.Vijana tujenge
Hahaha kuishi ni Bahati kufa lazimaNdio sababu tunasisitiza tupambane, tule bata, tujenge, tuishi.
Yote ni matokeo. Tule bata na kuishi kwa kadri tutakavyojaaliwa.Hahaha kuishi ni Bahati kufa lazima