Fanya yote ila usimzalie mtoto huyo mwanaume!

Nitawazalisha kwanza wote wawili, bila wao kujua, kisha nawakutanisha naongea nao, mambo yakae sawa, kila mmoja ajue kuna mwenzake. Kazi kwisha.

Na endapo watakubali mpango wangu,basi ndo watakuwa wake zangu milele.
β¬†οΈπŸ‘†πŸ‘†Huu ushetani muwe nao makini sana, wapo wanaume wanawaza hivi na wanawawinda huko mitaani!
Cc: Mallerina , win-one , Seran , ShesRise_1 , Sister Abigail
Kwahiyo, kwa mwanamke kuzaa, sidhan kama UTAYARI ndo jambo la muhimu.
Ili aku-manipulate vizuri, anataka uzae ukiwa hauko tayari wala haujajipanga vizuri.
 
Bahati mbaya nyege haitambui yote haya
 
Baadhi ya wanaume au tuseme walio wengi wamejaa ubinafsi mwili mzima
Kwenye vicwa vyao mwanamke ni kama bidhaa haoni mwanamke kua ni mtu alie kamili wametuundia madhaifu kibao na kututwika

Hasa wanaume wa humu wanajidai wana misimamo kumbe ni Ego mwingine ukiona comment yake unajua kabisa hiki ni kiazi nowadays mambo yanabadilika hakuna mwanamke anaevumilia upumbavu ili kulinda status et ameolewa

Hawajui dunia imebadilika mambo mengi bibi zetu wamefanyiwa wakavumilia wanahisi hata sasa ni hivyo kumbe sio hakuna kunyenyekea upumbavu

Kuzaa na mwanaume asie jitambua anaeendeshwa na mihemko mbinafsi na asie na huruma asie jali hata saikolojia ya watoto wake hilo ni bonge la pigo kukosea kuchagua mwenza ni umejiingiza kwenye majuto ya mda mlefu au ya milele
 
Saa nyingine nafikiri ningezaa when I was in my 20's...

Us women, we don't have much time...

Sio kama wanaume wanazalisha hadi 70 years...

Kama unaweza zaa ila usitegemee mwingine kulea ..

Na pressure time ina click isiku drive ukazaa na jitu jinga...

Kama una shida sana na mtoto unaweza ku adopt...ila hili liko complicated..

Ila nakubaliana na nyie ni bora KUTOZAA kabisa mpk uwe NDOANI ...inawezekana ukawa na utayari wa kulea mwenyewe, ukazaa yes..ila huyo mwanaume uliyezaa nae akakusumbua kutaka damu yake mpk basi...so ku avoid complications ni bora ukaachana na wazo la kuzaa kabisa....my take...
 
Hata huko ndoani usipokaa chonjo unaweza kufa taratibu watu wakashangaa siku tiii kama mnazi haya mambo πŸ™Œ
Akili nyingi hisia kidogo
 
Ushauri mzuri mno but tamaa za fisi, kuhofia kumkosa sponsor ndo tatizo, wanaamua kijilipua,kikubwa ni kijitambua tu na kuomba mungu otherwise mambo ni magumu kwa groud
 
Ghetto kama stoo πŸ˜‚ πŸ˜‚
Uongo??πŸ˜‚
Kuna siku utajichanganya, wakufungulie mijadala
Wawashwe! Do I look like I care?
Maskini, I hope mtoa mada hakuwachukulia kwa uzito!
Jambo kama umelibeba, majibu ya watu lazima yata reflect tu baadaye, ukiunganisha na mengine unayoyapata kwa ndugu huko!
Na mimi nakajua, nilikakuta huko kwenye mtandao flani na katoto kao πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama majinga! Na hapo bado alizaaga na binti mwingine akamuacha na mtoto kisa huyo mwingine! Basi ndio ushauri kila mtaa kama kayapatia sana mbwa yule!
 
Huyo mtoto sana! Labda awadanganye kina win sijui malerina πŸ˜…
Nimzalie kisa nini yani? Mi sijaja duniani kuzalia watu aisee!πŸ˜„
 
Nakuelewa sana Posts zako humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…