Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Mama Ataka kunyonya
Nawajua miaka! Ukiviona barabarani kama vitapeli! Ila ndio hivyo kuvimbiana jfanajifariji😅😅😅😅
usinichekeshe basi mi mbavu sina huku😅😅 itakua vimekondeana eehNawajua miaka! Ukiviona barabarani kama vitapeli! Ila ndio hivyo kuvimbiana jf
Vinenepeshwe na nini? Vikinenepa vinakuwa mitungi ya gesi!usinichekeshe basi mi mbavu sina huku😅😅 itakua vimekondeana eeh
Mahi nimekumic sana. [emoji8][emoji8]Yani ukizaa na mwanaume ndio unamuona shetani live…
My son 👩🏽🍼👩🏽🍼 njoo nyumbani basi!!Mama Ataka kunyonya
DaaaaaahKwani wewe ni binti?
Naangalia nyuzi zinawahusu lakn wanaokandiwa ni wanaumeKivipi mkuu?
Basi haujui kinaendelea nini! Nyuzi za wanawake kukandiwa ndio zimesheheni! Kama unaona waume mnaonewa something must be so wrong with you!Naangalia nyuzi zinawahusu lakn wanaokandiwa ni wanaume
UtayariBinti wa zamani, leo dada, Lamomy naona coment zinafanana.
Kwani UTAYARI unazingatia nini? Au kuwa na UTAYARI kunahitaji vigezo gani?
Kuzaa si lazima, hakuna sehemu imeandikwa au Sheria ya kwamba lazima kuzaa.Mwanamke akiwa kwenye mahusiano kuzaa ni jambo KAWAIDA kama sio la LAZIMA.
Hilo ni jambo lako binafsi halinihusu.Me hapa, japo sijui kama nitabadili mpango wangu, ila nataka nije kuwa na wanawake wawili. Swali linakuja, nitawapata kwa njia ipi?
Mipango yako endelea kuippigania upate wanaoendana na ndoto zakoJibu linakuja, njia ni moja na ni nzuri na ya uhakika.
Nitawazalisha kwanza wote wawili, bila wao kujua, kisha nawakutanisha naongea nao, mambo yakae sawa, kila mmoja ajue kuna mwenzake. Kazi kwisha.
SawaMiNa endapo watakubali mpango wangu,basi ndo watakuwa wake zangu milele.
Mwanamke ndiye mtu anaepaswa kuwa tayari kuhusu kuzaa hata kama ameolewa.Kwahiyo, kwa mwanamke kuzaa, sidhan kama UTAYARI ndo jambo la muhimu. Ila kuzaa ni LAZIMA kama mwanaume wake atamuoa.
Man...
Sikushauri uzae na mwanamke ambaye humuoi.
Woman...
Kuzaa lazima ila usizae na na mwanaume ambaye hakuoi. Kakini pia,...
ZINGATIA:USIOLEWE NA MWANAUME AMBAYE HAJIELEWI/HANA MWELEKEO M

Woooh Leo Nakuja Jioni MamyMy son 👩🏽🍼👩🏽🍼 njoo nyumbani basi!!
kaondoka ana wiki sasa!Woooh Leo Nakuja Jioni Mamy
Kwani Faza si kaondoka
Am caming maaana baba wa kambo namchukia acha kabisa ahahahkaondoka ana wiki sasa!
Kila nikisoma hii comment yako, huwa nafurahi sana mkuu.Wanawake sijui huwa mna akili za namna gani asee, sasa wewe unaona ndoa ndio kitu kinachoweza kumzuia mwanaume fedhuli asiyejali majukumu yake kukuletea mapicha picha hapo mbele??!!! No wonder mkiingia kwenye ndoa huwa mnaanza kuota mapembe kwa kuona mmemaliza yote, na hapa ndio wanaume na sisi tunawonyesha kuwa huu mchezo hauhitaji hasira.
Hapa ndio huwa naona nilichukua uamuzi sahihi wakuachana na masuala ya kutaka kuoa, kuoa kwa enzi hizi ni sawa na kufuga kijini kidogo ndani yako kinacho kuangamiza taratibu. Unaingia kwenye ndoa na mtua anayewaza 'Je ukifariki' huu ni ushetani wa hali ya juu sana
Nishalivuruga hivyo, ukinimind nakuja kukupa za uso 😂Acha kuvuruga soko la vipapio mamilooo
Ghetto kama stoo 😂 😂Walivyo akili finyu wanadai eti mama anataka kumpiga baba kupitia child support ndio yaleyale alosema ndugu yangu ERTUGRUL BEY mtu ana geto kama stoo kuchangia points za kishenzi tu! Hapo hana ata kazi ya kueleweka duhh! Yani ubongo wao na 💩 tofauti yao ni joto tu 🚮
Kuna siku utajichanganya, wakufungulie mijadalaKuna wanaume wanajichetuaga sana wanipate kichaa mimi!
Maskini, I hope mtoa mada hakuwachukulia kwa uzito!Nilijisikia vibaya sana! Wanabebanaga ujinga ndiomaana wanasema tumewazidi akili! Mtoa mada nahisi sukari ilipanda maana hakutegemea! Halafu nyuzi hata haiwahusu wao ni kuchangia ushuzi tu!
Na mimi nakajua, nilikakuta huko kwenye mtandao flani na katoto kao 😂😂Kama huyo fala namuonaga anavyojichetua tu kuhusu wanawake wakati nakajua kamke kake hakana hata hayo maajabu anayojisheuaga nayo!
Wanapunguza machungu maana maisha yao wanayajua wenyewe 😂Nawajua miaka! Ukiviona barabarani kama vitapeli! Ila ndio hivyo kuvimbiana jf
Vimepaukiana 😂😂usinichekeshe basi mi mbavu sina huku😅😅 itakua vimekondeana eeh
Ukijichanganya kwa mwanaume wa hovyo, hakuna rangi utaacha kuiona.Yani ukizaa na mwanaume ndio unamuona shetani live…
Nina mimba changa ya uzeeni, tuvumiliane tu, mwaka utakuwa mrefu sana huu!Daaaaaah
We ni wa kunijibu hvo?
Am speechless