Fanya yote ila usimzalie mtoto huyo mwanaume!

Utakufa - hiyo ni fact na huwezi kuibadili.
Andaa mazingira, ikitokea umetangulia wewe, watoto wako wasiteseke.
Kweli nyie wanawake ni wapumbavvu sana na mna fikra za kiuaji tu.

Haya chukulia mfano mmekufa wote wewe na mumeo kwenye ajali ya gari mkiwa mnatoka kazini, vipi huyo mtoto au watoto wenu wataishije?

Unamuwazia ni mwanaume tu pekee ndio atayeanza kufa unasahau kwamba kuna kufa wote wawili ghafla
 
Mtoto ana wazazi wawili. ikitokea wamefariki wote ni bahati mbaya , kuwa na wazazi wawili hiyo ina maana kuwa ikitokea mzazi mmoja amefariki au amepata janga kuu basi mtoto atalelewa na mzazi mmoja anayebaki.
 
Una uwezo wa kudhani upo na mwanamke wa ndoa Sasa huyu mwanamke bado anakuwa akifikiria wakati mumewe atakapo kufa ku spenda mali za mmewe Hii ni dharau kubwa na fikra mbovu kabisa Badala ya kuishi maisha yenye heshima na kutafuta mafanikio anajishughulisha na mambo ya urithi na kufikiria kifo sijuh mfano akifa ! Hili si tabia ya mtu mwenye moyo wa uzalendo wala heshima bali ni tabia ya ubinafsi na wivu usio na kikomo
Na ndio maana wakiona haufi wanaamua kukutanguliza, maana tayari wameshapanga maisha yao baada ya wewe kufa yatakuwaje na wanakuwa wanasubiri kwa hamu sana ufe. Sasa wakiona bado una dunda tu inakuwa ni kama unawachelewesha kuishi maisha wayatakayo hivyo wanaamua kukutanguliza kwa gharama yoyote ile.

Ndio ile unaskia mume kavamiwa na majambazi akiwa anatoka kazini yakamuaa tu halafu hakuna yalichochukua, zinabaki stori tu kwamba marehemu atakuwa amedhulumiana na wenzie kwenye biashara zao na ndio chanzo cha kifo chake, kumbe mke wake ndio mastermind wa tukio zima.

Halafu siku ya mazishi huyo mke mwenyewe analia kuliko hata ndugu wa marehemu tena ikiwezekana anajifanya kuzima kabisa.

Ndio maana mimi siku hizi nikihudhuria misibani halafu nikimuona mke wa marehemu analia sana kuliko hata ndugu wa marehemu huwa napata mashaka, maana unaweza ukakuta nyie mnamuona analia kumbe mwenzenu moyoni anafanya sherehe kubwa.
 
Mtoto ana wazazi wawili. ikitokea wamefariki wote ni bahati mbaya , kuwa na wazazi wawili hiyo ina maana kuwa ikitokea mzazi mmoja amefariki au amepata janga kuu basi mtoto atalelewa na mzazi mmoja anayebaki.
Hivi umewahi kufuatilia hata logic waliyonayo ya wao kusema hiyo kauli yao kwamba ukifa utaniachaje na wanao???

Yaan ni ya kipuuzi mno, nadhani hata wewe huijui, na ndio maana comment yangu umeijibu kirahisi rahisi.
 
Na ndio maana wakiona haufi wanaamua kukutanguliza, maana tayari wameshapanga maisha yao baada ya wewe kufa yatakuwaje na wanakuwa wanasubiri kwa hamu sana ufe. Sasa wakiona bado una dunda tu inakuwa ni kama unawachelewesha kuishi maisha wayatakayo hivyo wanaamua kukutanguliza kwa gharama yoyote ile.

Ndio ile unaskia mume kavamiwa na majambazi akiwa anatoka kazini yakamuaa tu halafu hakuna yalichochukua, zinabaki stori tu kwamba marehemu atakuwa amedhulumiana na wenzie kwenye biashara zao na ndio chanzo cha kifo chake, kumbe mke wake ndio mastermind wa tukio zima.

Halafu siku ya mazishi huyo mke mwenyewe analia kuliko hata ndugu wa marehemu tena ikiwezekana anajifanya kuzima kabisa.

Ndio maana mimi siku hizi nikihudhuria misibani halafu nikimuona mke wa marehemu analia sana kuliko hata ndugu wa marehemu huwa napata mashaka, maana unaweza ukakuta nyie mnamuona analia kumbe mwenzenu moyoni anafanya sherehe kubwa.
Muhimbu, nani amekuumiza vibaya hivi mpaka una mawazo kama haya?
 
Upande wa wenye heri ambao mtabarikiwa mpaka mshangae!
Kwa hili jibu jepesi hivi inaonesha kiwango chako cha kufikiri na namna unavyoyachukulia kiwepeai mambo mazito yanayowaathiri wanaume.

Wewe mwanamke akili huna kabisa, sidhani kama unajua jinsi vile mwanaume anabaki na pyschological trauma nzito baada ya kujua mtoto aliemlea miaka 6 sio wake.
 
Mimi kwenye hiyo comment nimeelewa huyo ni baba wa kambo, kwani wewe mwenzangu umeelewaje?
 
Kwanin awe baba wa kambo bila mkewe kumwambia ukweli? Si ndio utapeli wa uzazi(partenity fraud) huo?

Tatizo una uelewa finyu sana wewe mama na hujali kabisa ukatili unaofanywa na wanawake kwa wanaume.

Mnapoolewa halafu bado mnaenda kupigwa mimba na maex wenu hizo mimba muwe mnawapa kabisa taarifa waume zenu kwamba baba fulani "hii mimba niliyobeba sasa hivi sio yako ni ya mchepuko wangu, hivyo kama unalea lea tu ila huyu mtoto atakayezaliwa sio wako"..

Muwe mnafanya hivyo hili kusudi mwanaume akae anajua kabisa from the begining ni baba wa kambo kwa huyo mtoto wako na sio kumbambikizia mimba halafu anakuja kujua baadae amelea mtoto ambaye sio wake... vinginevyo mtaendelea kuchinjwa sana nyie na hao watoto wenu wa zinaa, na siku hizi wanaume wanaenda mbali kabisa anamtafuta na huyo hawara yako naye anamtanguliza mbele ya haki hili mkatengeneze familia yenu ya najisi huko kuzimu.
 
Back
Top Bottom