Fanya yote ila usimzalie mtoto huyo mwanaume!

Fanya yote ila usimzalie mtoto huyo mwanaume!

🤣🤣🤣🤣🤣 daaah
Ujue nini..

Kesho asbhi kuna maza anakuja getto ..
Huyu maza namkanda kesho najua nikisha muonjesha tuu atataka kila alhamis utamu anyway mi takula tuuu kila day..

Mbele za watu tunaitana kaka na dada ila deep down anataka....

Kuhusu ushauri wako kwa vijana ni kweli kabisa aiseeee wasiwazalie hiyo haitakiwi
To all men who became successful after a breakup, please give one piece of advice to a man going through one right now.
 
Mabinti, hasa nyie wadogo wa alfu mbili, hata akuambiaje, Usijichanganye kumzalia mtoto.
  1. Hakuna jukumu kubwa kwenye maisha zaidi ya kuzaa na kulea watoto. Mwanaume akikuambia bado hayuko tayari kukuoa ila anataka umzalie, huyo ni tapeli kama matapeli wengine tu.

  2. Kama huna kipato cha kueleweka na hajakuoa usizae kiholela. Na ukiolewa, hakikisha una shughuli ya kiuchumi ya kukuwezesha kuhudumia watoto wako ikitokea amekutelekeza, mmeachana au bahati mbaya amefariki.

  3. Mapenzi kunoga na ahadi za kukuoa siyo sababu ya kubeba mimba. Wanaume wasio wababaifu, wenye kujua nafasi yao kwenye malezi wamebaki wachache sana ni kama bahati nasibu (Rejea hoja No 1 & 2).

  4. Zaa kwa ajili yako pale utakapokua tayari kiuchumi, kiakili na kimwili. Usizae ili uolewe au ili umtulize mwanaume, fahamu kuwa jukumu la malezi kwa kiasi kikubwa ni lako kama mama na yakitokea matatizo, atakayehangaika na mtoto / watoto ni wewe.

  5. Tumia uzazi wa mpango kuepuka mimba zisizotarajiwa kama hutaki basi tumia Kalenda au Condom (Kama hujui namna ya kujikinga kwa kutumia kalenda njoo hapa wamama tukusaidie na tukuelimishe.)

Ukitaka kujua huyo baba watoto wako mtarajiwa atakuwaje mkikosana na mna mtoto nenda kasome replies za wababa kwenye uzi wa jana wa waziri Dkt. Gwajima D - Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto - humo wamefunguka bila kuficha makucha yao.


Usiwe kama kenge mpaka uvuje damu ndiyo usikie - USIMZALIE BILA NDOA au UHAKIKA WA KUWEZA KUHUDUMIA MWANAO PEKE YAKO BILA YEYE.

Ni hayo tu, siku njema kwenu!


********
Naomba mtoe neno kwenye hili Lamomy , Leejay49 , nakwede97 , Demi , Aaliyyah , Mamndenyi , Bantu Lady , Ms R , leo dada , Numbisa , cocochanel , cocastic , Evelyn Salt , ephen_

Cc:
Wanawake wa JF:

waifu material * Mallerina
Atoto * Sister Abigail
realMamy ⋆ Qashy Lilith⋆ To yeye
Msweet ⋆ Chujio * Palina
Anastasia21 * ledada ⋆ Carleen * Midekoo
Mama Mwana * Hornet
SweetyCandy ⋆ Ellerie Bexley
Donatila *Jackcharty * Kelsea * Braying * Mrs Byesige
Acha kuwatisha wenzako ?
 
Ndo hivyo mkuu, maisha yamebadilika. Mabinti wazae, walee watoto wao na maisha yandelee, zama za kulialia kutaka matunzo ya mtoto yalishapitwa na wakati. Anayetaka kuhudumia ahudumie na asiyetaka pia asifanye hivyo. Kupanga ni kuchagua...utajua mwenyewe na watoto wako huko uzeeni.
Umenena vyema sana ila hao mabinti kuelewa hadi muwaue, hawana akili upeo.......
 
Hahahaha sijui anakuwaje tu, mwenyew nachoka sana japo ninajua vyema lugha hiyo ila sasa mtu kuongea ma kiingereza naona michoresho tu
Ahahahahah alafu na ukifatilia wanaojua ndo wale wanakuaga kimya hawana mbambamba et
 
Sema mwanangu unapoongea ki ngereza unanikata moto kudadek 😂😂😂😂
You're a man.
Never tolerate Disrespect
Whether online or offline,
Whether on X, WhatsApp, or in person,
Whether in dating, marriage, or business.
The moment someone crosses the line, shut the door.

Next time I will teach you how to handle disrespect....
 
You're a man.
Never tolerate Disrespect
Whether online or offline,
Whether on X, WhatsApp, or in person,
Whether in dating, marriage, or business.
The moment someone crosses the line, shut the door.

Next time I will teach you how to handle disrespect....
Nishajifanya uadui kugombana na yeyeeeee
Ila kipimo changu cha uzuri mtu afanane na yeyeeeee
 
Siku mwanamke akielimika/kuwa na akili. Jamii itakombolewa 🤣
Badala yake tumekuwa na jamii ya ovyo kiasi kwamba hata wanyama wanaonekana wamestaharabika.

Kuna professor mmoja aliwahi kutamka kuwa "women empowerment is one of the biggest scams to humanity"
 
Kumbe kuna vita ya kijinsia na wengine hata hatujui, aiseeh 🤦‍♀️!
Huwezi ukajua kama kuna gender division pamoja na chuki kali sana ya kijinsia inayokua kwa kasi kwenye jamii yetu kwa sababu wewe uko kwenye advantageous side(jinsia ya kike) ambao unatetewa na serikali pamoja na vyombo vyote vyenye nguvu kwenye dunia hii.

Ila muda si mrefu utajua tu kupitia matokeo yake, na moja ya matokeo yake ni uwepo wa mada kama hii.
 
Unataka kusema wewe ni mkaka handsome au 🤣 🤣 🤣
Napata usumbufu Sana kutoka kwa mishangazi amini kwamba. Wanataka niwape chata😎, SASA hao mishangazi ndio kama hawa unaowapamba sasahivi wasitupe mipapa baadae wanaanza kutafuta anaepumua Tu.
 
Waambie hao wajitunze ukizaa kabla hujaolèwa huolewi tena
Kuna wanaume wengi sana wajinga wajinga kwenye jamii yetu na wana maisha ambao wako tayari kuoa hata mwanamke aliyezalishwa watoto wa tatu.

Ni jambo la kuwa manipulate tu wanatangaza ndoa na hao watoto wako wanawalea kama mtetea anavyowale vifaranga.

Jamii yetu ya kisasa imefanikiwa kuwapumbaza wanaume kwa kuwaaminisha kwamba single mothers ndio wanawake wenye akili za maisha na ndio wanastahili kuolewa.

Ndio maana siku hizi ukiudhuria karibu kila harusi ukufuatilia unakuta bibi harusi tayari ana mtoto alimpata kwenye mahusiano yake ya nyuma.

Sasa basi kama wewe ni single mother halafu umeshindwa kupata mwanaume wa kukuoa na kweli unahitaji kuolewa, basi hilo ni tatizo lako...

Inavyoonekana hujui kushawishi mwanaume.

What you have to do is to upgrade your manipulation game then you will quickly snatch one foolish rich man who will gladly adopt you and your fatherless child/children.
 
Badala yake tumekuwa na jamii ya ovyo kiasi kwamba hata wanyama wanaonekana wamestaharabika.

Kuna professor mmoja aliwahi kutamka kuwa "women empowerment is one of the biggest scams to humanity"
Elimu ni muhimu kwa jinsia zote
 
Back
Top Bottom