Fanya yote ila usimzalie mtoto huyo mwanaume!

KENGE 01 anakosa gaaani tena kunyanduana mpate raha wenyewe Lawama Muangushe kwa Kenge damn🚮 Watachakazwa sana hawa Gen Z hawawezi kukuelewa mpaka wapate hiyo Mimba ndo akili zinatulia
 
Binadamu hatutabiriki.anaweza kuwa mwema na anaweza kukubadilikia.kuzaa na mtu ndoani sio guarantee kwamba atawajibika ipasavyo,Kuna watoto walizaliwa ndani ya ndoa Leo hata sura ya baba/mama hawaikumbuki.anythng can happen.
Kikubwa ni kuhakikisha uko vema kiuchumi,una uwezo wa kujitafutia mahitaji ya msingi so hata ikitokea kumbe kikabaki upande wako pekee utamudu kutoa mahitaji.shida utayopata ni ya kihisia ama kisaikolojia Kwa kubaki single parent.mwisho wa siku what matters most ni ur kid's wellbeing.anakula uhakika,matibabu uhakika,malazi uhakika,na elimu mengine Mungu ataendelea kubariki.

So nakubali hapo kwenye kipengele Cha uchumi ila ndoa hapana.unaweza hata kuachwa mjane bila mali zozote,shida bado Iko palepale
 
Mabinti, hasa nyie wadogo wa alfu mbili, hata akuambiaje, Usijichanganye kumzalia mtoto.
  1. Hakuna jukumu kubwa kwenye maisha zaidi ya kuzaa na kulea watoto. Mwanaume akikuambia bado hayuko tayari kukuoa ila anataka umzalie, huyo ni tapeli kama matapeli wengine tu.

  2. Kama huna kipato cha kueleweka na hajakuoa usizae kiholela. Na ukiolewa, hakikisha una shughuli ya kiuchumi ya kukuwezesha kuhudumia watoto wako ikitokea amekutelekeza, mmeachana au bahati mbaya amefariki.

  3. Mapenzi kunoga na ahadi za kukuoa siyo sababu ya kubeba mimba. Wanaume wasio wababaifu, wenye kujua nafasi yao kwenye malezi wamebaki wachache sana ni kama bahati nasibu (Rejea hoja No 1 & 2).

  4. Zaa kwa ajili yako pale utakapokua tayari kiuchumi, kiakili na kimwili. Usizae ili uolewe au ili umtulize mwanaume, fahamu kuwa jukumu la malezi kwa kiasi kikubwa ni lako kama mama na yakitokea matatizo, atakayehangaika na mtoto / watoto ni wewe.

  5. Tumia uzazi wa mpango kuepuka mimba zisizotarajiwa kama hutaki basi tumia Kalenda au Condom (Kama hujui namna ya kujikinga kwa kutumia kalenda njoo hapa wamama tukusaidie na tukuelimishe.)

Ukitaka kujua huyo baba watoto wako mtarajiwa atakuwaje mkikosana na mna mtoto nenda kasome replies za wababa kwenye uzi wa jana wa waziri Dkt. Gwajima D - Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto - humo wamefunguka bila kuficha makucha yao.

Usiwe kama kenge mpaka uvuje damu ndiyo usikie - USIMZALIE BILA NDOA au UHAKIKA WA KUWEZA KUHUDUMIA MWANAO PEKE YAKO BILA YEYE.

Ni hayo tu, siku njema kwenu!

********
Naomba mtoe neno kwenye hili Lamomy , Leejay49 , nakwede97 , Demi , Aaliyyah , Mamndenyi , Bantu Lady , Ms R , leo dada , Numbisa , cocochanel , cocastic , Evelyn Salt , ephen_

Cc:
Wanawake wa JF:

waifu material * Mallerina
Atoto * Sister Abigail
realMamy ⋆ Qashy Lilith⋆ To yeye
Msweet ⋆ Chujio * Palina
Anastasia21 * ledada ⋆ Carleen * Midekoo
Mama Mwana * Hornet
SweetyCandy ⋆ Ellerie Bexley
Donatila *Jackcharty * Kelsea * Braying * Mrs Byesige
Kuna mmoja juzi hapo ile muda imekoleaaa nikamwambia nivue condoma halafu niichapie kwa ndani nikasikia yes baby nikasema kumbafu hamna mtu hapa.
 
Walivyokua na njaa na tamaa za maisha ya gharama wakati hawana uwezo sijui kama watakuelewa
 
Upo sawa kabisa mdogo wangu. Usizae kama huna huna uwezo wa kumuhudumia mtoto wewe mwenyewe na usizae eti kwamba huyo jamaa atakupenda zaidi, zaa kwaajili yako wewe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom