Fanya yote ila usimzalie mtoto huyo mwanaume!

Fanya yote ila usimzalie mtoto huyo mwanaume!

Kuna wadada suala la kuzaa wanalichukulia simple simple Sana! Yaani kajamaa tu baada ya kulewa visungura kanamwambia nizalie kama kweli unanipenda nayeye anaingia kingi Pumbavu kabisa😎😎😎😎😎😎
 
Tunawekwa kwenye ndoa, tunazaa afu tunamwagwa😂😂 apo kifupi tusizae kabisa, sai hata izo ndoa ni prakatatumbaaa.
Atleast hapo mtu hawezi kukukana na familia zinaweza kusaidia, tofauti na akikuzalisha huko vichochoroni.
Mtu eti umekutana naye chuo au mmepanga mtaa mmoja, umejuana naye juu juu unamzalia. Akihama hapo hata ndugu zake wala kwao alipotokea hupajui. Sasa huo si ujinga.
 
Mimi nadhani muhimu kuliko yote ni mwanamke asizae kama kipesa hayupo vizuri. Unaweza subiri mpaka uolewe ndio ni jambo jema lkn kama mwanaume ni wa hovyo na wewe mwanamke bado hujasimama lazima moto ukuwakie. Zaa ukiwa tayari kimwili, kiakili na kipesa.
 
Naomba tusiharibiane safari..
Nmekesha na huo uzi ***** zangu sijalala..

Nilichogundua "miaka 15 ijayo tutakuwa na watoto wengi wasiowajua baba au mama, lakini mauaji ya wanandoa yatazidi"
Chonde chonde serikali isitishe leseni za utoaji wa silaha za moto"
 
Atleast hapo mtu hawezi kukukana na familia zinaweza kusaidia, tofauti na akikuzalisha huko vichochoroni.
Mtu eti umekutana naye chuo au mmepanga mtaa mmoja, umejuana naye juu juu unamzalia. Akihama hapo hata ndugu zake wala kwao alipotokea hupajui. Sasa huo si ujinga.
mama weweeeee akiondoka anakuacha unapata shida za yule yule alozalishwa chuo
 
Lakini madam, mimi naamini haya mambo inabidi yachukuliwe on a case by case basis; kila kisa kina uchambuzi wake.
I agree
Haiwezekani matatizo yote ya wababa kutelekeza watoto yamesababishwa na wababa pekee.
Ni kweli, kuna wanawake wana matatizo pia. Ila more than 90% ya watoto wote waliotelekezwa kimalezi, wameachwa na baba zao na hii siyo sawa.
Mkifanya kujumuisha mnakosea.
Sawa, pande zote inabidi zijifunze kulea watoto kwa pamoja pale mahusiano yanapoisha.
 
Back
Top Bottom