Fanya yote ila usimzalie mtoto huyo mwanaume!

Fanya yote ila usimzalie mtoto huyo mwanaume!

Hahaha kwani NDOA ndio nini?

Kuna watu wanatambulishwa kila siku kwao mwanamke mpya na wana wachumba zaidi ya 10 na wanazalishwa wote.

Kama umechoka wanaume pumzika tu.

Mwanamke akiniambia anitambulishe ndiyo anikubali nakwenda, nikitest nikakuta Litimus inakuwa Nyeusi nasepa, siyo dhambi.

Wewe unavigezo nami nina vigezo.
Akili zao wengine ndiyo ni kama hizo 👆zilizosemwa hapo.
Jichanganye sasa umzalie mtu kama huyu, utajua hujui!
 
Una eleme
Wanawake sijui huwa mna akili za namna gani asee, sasa wewe unaona ndoa ndio kitu kinachoweza kumzuia mwanaume fedhuli asiyejali majukumu yake kukuletea mapicha picha hapo mbele??!!! No wonder mkiingia kwenye ndoa huwa mnaanza kuota mapembe kwa kuona mmemaliza yote, na hapa ndio wanaume na sisi tunawonyesha kuwa huu mchezo hauhitaji hasira.

Hapa ndio huwa naona nilichukua uamuzi sahihi wakuachana na masuala ya kutaka kuoa, kuoa kwa enzi hizi ni sawa na kufuga kijini kidogo ndani yako kinacho kuangamiza taratibu. Unaingia kwenye ndoa na mtua anayewaza 'Je ukifariki' huu ni ushetani wa hali ya juu sana
Nt kama baba nanhii, hv kumbe mnakuwaga mnafanana, kauli na fahamu
 
Kumbe wanawake wajinga wa zamani bado mpo,nilidhani wameisha
Unawezaje kufikiri nwanaume atakufa kabla yako,kuachana "mawazo ya wakata tamaa
Ni nini mnakifuata kwenye ndoa/mahusiano ni pesa,njaa zinawapeleka huko ama tamaa?
Huo ni ubinafsi
 
Kama wewe ni mwanaume na una povu, nenda kalitapikie sehemu nyingine, huu uzi usiuguse

Kama wewe ni mwanaume na una povu, nenda kalitapikie sehemu nyingine, huu uzi usiuguse 🚫⛔!
Kwanini wanawake wanafikiri wanatuzalia watoto? Mtoto akizaliwa sio wa baba pakee, ni wa wote. Kwani kwenye maisha ndoa ni ya lazima? Cha muhimu mwanamme atoe matumizi ya mtoto na mama
 
Back
Top Bottom