Uchaguzi 2020 Fao la Kujitoa ni Turufu nyingine kwa Wagombea Urais

Kasome ilani ya chadema,


Pale kwenye siku 100 za mwanzo wanadai wataruhusu mpoteza ajira kupewa pesa zake mara 1 kutoka kwenye mifuko hiyo.
Kama iko hivyo hajalizungumza kwa mapana na marefu.
 
Hivi CHADEMA wanaweza zuia mswada usiende kuwa sheria, yaan bunge lenye wabunge zaidi ya 314 wazuiliwe na CHADEMA yenye wabunge 70 bunge lililopita??
Hao mbona wengi Sana wakilisimika kelele mwanzo mwisho na kurushians makoti na viatu hoja haipiti
 
...CHAUMA, CUF, ACT- WAZALENDO, CCM na CHADEMA kazi kwenu. Sera zenu ziguse kila kundi fulani katika jamii. Kila mmoja ana hamu ya kusikia mgombea urais atakayekuja na majibu ya FAO LA KUJITOA...
Sasa hivi ukienda kwa mfano NSSF, wankuambiwa kuwa watakulipa asilimia kadhaa ya faa la kukosa ajira kila mwezi kwa muda wa miezi 6 na baada ya hapo utakaa miezi sita bila malipokama hujapata ajira na hapo utakuwa umetimiza mwaka mmoja tangu ukose ajira. Pamoja na utaratibu huu wanakuwekea mchakato mrefu kiasi hadi ulipwe hizo fedha utakuwa umeenda katika ofisi zao hadi soli ya kiatu imeisha. Kitu cha ajabu kuliko chochote ni kuwa hata mwajiri asipowasilisha michango yako wala hawahangaiki kuyafuatilia. Kimsingi CCM nadhani wanasubiri 2023 ili hili jambo la fao la kujitoa lifutiliwe mbali kabisa maana sasa hivi wanaliita fao la kukosa ajira.

Katika ilani ya vyama sijasikia anayeongelea haya isipokuwa CCM walipogundua kuwa wapo wapiga kura kutoka kundi la waliokosa ajira wameamua kutangaza nafasi za ajira. Watanzania tukiendelea kuwatazama manyani tutavuna mabua. Ajenda ya mafao na na bima ya afya zinapaswa kuwa ajenda za uchaguzi siyo flyover na ndege.
 
NDUGAI na Bunge lililojaa maccm, wakapitisha Sheria Kuondoa FAO la kujitoa

Magufuli akasaini na kupora haki za wanyonge

CCM wamejaza Mabango barabarani,. Nssf haina Pesa
 
CCM bia kuongelea mambo haya mtayafanyiaje kazi mkipewa miaka 5 mingine - mmekwisha ikishafika 28th October.

Fao la kujitoa na Katiba mpya.
 
FAO la kujitoa

CCM walifuta FAO la kujitoa ili waibe Pesa za Kampeni
 
Namuona nae Lissu kalizungumzia mwanzoni hili suala lkn kwa sasa naona kama kasi yakulizungumzia hili imepungua...watu tunataabika mtaani kwa ajili ya kuzifuatilia stahiki zetu...kwa kweli serikali na bunge lao kwa ujumla hawakututendea haki..

Yaani pesa yako kama unaidai kwa mtu baki, milolongo kibao pesa zenyewe sasa mpaka ukizipata hoi.

Turudishie Fao la kujitoa nyie watu,maisha magumu mtaani msione nyie mnaishi kwa kodi za wananchi mkahisi wote tupo hivyo wengine tupo choka mbaya
 
Kusema ukweli Magufuli hashindi na akishindishwa utakuwa msiba wataifa. I
 
Sheria mbovu za ccm. Chagua Lissu uwe huru.
 
Ilani ya chadema liko wazi. Kura kwa Lissu upate maendeleo.
 
Sauti ya Haki Ni Sauti Kuu

Tunaomba Mheshimiwa Tundu Lisu alizungumzie Tena.

Tunajua Mkuu una kero nyingi za kuongelea, Bali tunaomba urudie Tena kusisitiza.

Molemo CHADEMA Chadema Diaspora
 
NDUGAI na Bunge lililojaa maccm, wakapitisha Sheria Kuondoa FAO la kujitoa

Magufuli akasaini na kupora haki za wanyonge

CCM wamejaza Mabango barabarani,. Nssf haina Pesa
Nileteeeni Gwajimaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaàaaaaaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnajua kwa Nini CCM hawajigusi Wala kujali Wala kuogopa?

Chadema haitashinda kabisa...Sababu Ni kuwa mbinu za wizi wa kura

Mwaka 2015 kura nyingi mno ziliibwa kwa kununua mawakala wa Chadema.. kuwahonga.

Ndio maana wabunge wa upinzani walikuwa wachache, ukilinganisha na kura million 6.

Magufuli atashinda...sio kwa kura halali

Lisu anasema huu uchaguzi Ni ngumu.

Kwako Mbowe na Mnyika...msibweteke na nyomi..

Chungeni mawakala ....
 
Waziri Mhagama leo kwenye seminar ya mifuko ya jamii, hajazungumzia FAO la kujitoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…