- Thread starter
- #41
Kama iko hivyo hajalizungumza kwa mapana na marefu.Kasome ilani ya chadema,
Pale kwenye siku 100 za mwanzo wanadai wataruhusu mpoteza ajira kupewa pesa zake mara 1 kutoka kwenye mifuko hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama iko hivyo hajalizungumza kwa mapana na marefu.Kasome ilani ya chadema,
Pale kwenye siku 100 za mwanzo wanadai wataruhusu mpoteza ajira kupewa pesa zake mara 1 kutoka kwenye mifuko hiyo.
Hao mbona wengi Sana wakilisimika kelele mwanzo mwisho na kurushians makoti na viatu hoja haipitiHivi CHADEMA wanaweza zuia mswada usiende kuwa sheria, yaan bunge lenye wabunge zaidi ya 314 wazuiliwe na CHADEMA yenye wabunge 70 bunge lililopita??
Sasa hivi ukienda kwa mfano NSSF, wankuambiwa kuwa watakulipa asilimia kadhaa ya faa la kukosa ajira kila mwezi kwa muda wa miezi 6 na baada ya hapo utakaa miezi sita bila malipokama hujapata ajira na hapo utakuwa umetimiza mwaka mmoja tangu ukose ajira. Pamoja na utaratibu huu wanakuwekea mchakato mrefu kiasi hadi ulipwe hizo fedha utakuwa umeenda katika ofisi zao hadi soli ya kiatu imeisha. Kitu cha ajabu kuliko chochote ni kuwa hata mwajiri asipowasilisha michango yako wala hawahangaiki kuyafuatilia. Kimsingi CCM nadhani wanasubiri 2023 ili hili jambo la fao la kujitoa lifutiliwe mbali kabisa maana sasa hivi wanaliita fao la kukosa ajira....CHAUMA, CUF, ACT- WAZALENDO, CCM na CHADEMA kazi kwenu. Sera zenu ziguse kila kundi fulani katika jamii. Kila mmoja ana hamu ya kusikia mgombea urais atakayekuja na majibu ya FAO LA KUJITOA...
Sheria mbovu za ccm. Chagua Lissu uwe huru.mkuu naona hii hoja imekugusa sana, kuongelea fao la kujitoa ni mawazo ya kienyeji sana,
Kwanza, kwanini mtu anadai fao lake? nikwa sababu kapoteza ajira "labor turnover" kinachopaswa kuangaliwa kwanini watu wapoteze ajira zao? Jambo la kwanza alilofanya mwalimu baada tu ya uhuru ni kufanya mtu kupoteza ajira kuwa jambo gumu. Na ndivyo inavyopaswa kuwa, kuwa mtu kupoteza ajira yake liwe jambo gumu sana.
Hawa wagombea wetu hakuna anayezungumzia job security, maelfu ya watu wamefutwa kazi kwa sababu mbalimbali, serikali ilipaswa iwajibike na hayo mambo ya hovyo kabisa. Lakini si Lissu wala jpm anaongelea hilo, tunatengeneza ajira na kupoteza ajira wakati huohuo work done equal to zero.
Ilani ya chadema liko wazi. Kura kwa Lissu upate maendeleo.Namuona nae Lissu kalizungumzia mwanzoni hili suala lkn kwa sasa naona kama kasi yakulizungumzia hili imepungua...watu tunataabika mtaani kwa ajili ya kuzifuatilia stahiki zetu...kwa kweli serikali na bunge lao kwa ujumla hawakututendea haki..
Yaani pesa yako kama unaidai kwa mtu baki, milolongo kibao pesa zenyewe sasa mpaka ukizipata hoi.
Turudishie Fao la kujitoa nyie watu,maisha magumu mtaani msione nyie mnaishi kwa kodi za wananchi mkahisi wote tupo hivyo wengine tupo choka mbaya
Sauti ya Haki Ni Sauti KuuNamuona nae Lissu kalizungumzia mwanzoni hili suala lkn kwa sasa naona kama kasi yakulizungumzia hili imepungua...watu tunataabika mtaani kwa ajili ya kuzifuatilia stahiki zetu...kwa kweli serikali na bunge lao kwa ujumla hawakututendea haki..
Yaani pesa yako kama unaidai kwa mtu baki, milolongo kibao pesa zenyewe sasa mpaka ukizipata hoi.
Turudishie Fao la kujitoa nyie watu,maisha magumu mtaani msione nyie mnaishi kwa kodi za wananchi mkahisi wote tupo hivyo wengine tupo choka mbaya
Nileteeeni GwajimaaaaaaNDUGAI na Bunge lililojaa maccm, wakapitisha Sheria Kuondoa FAO la kujitoa
Magufuli akasaini na kupora haki za wanyonge
CCM wamejaza Mabango barabarani,. Nssf haina Pesa
Nileteeeni Gwajimaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaàaaaaaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app