FAO: Tusipowadhibiti nzige wanaoikabili Ethiopia, Kenya na Somalia watasambaa

FAO: Tusipowadhibiti nzige wanaoikabili Ethiopia, Kenya na Somalia watasambaa

Tanzania wapo sana sema serikali imekaa kimya na tu
IMG_20200125_125556_7.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania wanafika lini ? Tanzania ni tajiri itatumia ma dege anga kuwanyunyizia dawa mara moja wafe.
Tena waanzie Chato. Ndege hazitapata shida pa kutua kujaza insecticide maana tayari upo uwanya wa kimataifa.
 
Nimelima hekar zangu kumi za mpunga, kila nikiwaza hawa wadudu mavi yanagonga chupi yanarud....dk tano tu zinatosha kukdhihirishia kuwa your workdone=0
 
Tanzania Mungu anatuepusha na majanga mengi sana. Tunayasikia kwa wenzetu kwa sana, nchi zilizotuzunguka almost zote zinakumbwa na majanga refer ebola, mafua ya ndege ect saizi nzige..

Hizo nzige zikiingia Tanzania tu utasikia zimetokomea kusiko julikana.

GOD IS GOOD.
Tatizo Tz njaa imezidi, wakija huku wanategwa wote na kugombaniwa kwa ajili ya kitoweo na wengine huuzwa kwenye vifuko, sasa wataponea wap?
 
Enzi zile ilikuwa mapigo ya mola,sa sijuwi sasa tumrejee yeye
 
Nimelima hekar zangu kumi za mpunga, kila nikiwaza hawa wadudu mavi yanagonga chupi yanarud....dk tano tu zinatosha kukdhihirishia kuwa your workdone=0
Hawa mkuu wakipiga kwenye mpunga mwaka huo utavuna balaa
Maana wakila mpunga majani yake yote sasa kama kuna maji utachipua hatare huamini
Huwa tunawaombea sana wapite kwenye Mpunga ila kwenye mahindi wakipiga yaani ni palapanda hiyo
 
Back
Top Bottom