FAO: Tusipowadhibiti nzige wanaoikabili Ethiopia, Kenya na Somalia watasambaa

Tanzania wanafika lini ? Tanzania ni tajiri itatumia ma dege anga kuwanyunyizia dawa mara moja wafe.
Tena waanzie Chato. Ndege hazitapata shida pa kutua kujaza insecticide maana tayari upo uwanya wa kimataifa.
 
Nimelima hekar zangu kumi za mpunga, kila nikiwaza hawa wadudu mavi yanagonga chupi yanarud....dk tano tu zinatosha kukdhihirishia kuwa your workdone=0
 
Tatizo Tz njaa imezidi, wakija huku wanategwa wote na kugombaniwa kwa ajili ya kitoweo na wengine huuzwa kwenye vifuko, sasa wataponea wap?
 
Enzi zile ilikuwa mapigo ya mola,sa sijuwi sasa tumrejee yeye
 
Nimelima hekar zangu kumi za mpunga, kila nikiwaza hawa wadudu mavi yanagonga chupi yanarud....dk tano tu zinatosha kukdhihirishia kuwa your workdone=0
Hawa mkuu wakipiga kwenye mpunga mwaka huo utavuna balaa
Maana wakila mpunga majani yake yote sasa kama kuna maji utachipua hatare huamini
Huwa tunawaombea sana wapite kwenye Mpunga ila kwenye mahindi wakipiga yaani ni palapanda hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…