Faragha ya Dogo Janja na Mpenzi wake yavuja

Faragha ya Dogo Janja na Mpenzi wake yavuja

Hahaha hawa dada zetu bana eti janjaro huna future mimi nataka mtu sio wa show off ,Janjaro hana future kisa ajatoa singo ?? Huyu si ni mtoto kabisa ndio kwanza anayaanza maisha na ni lazima muziki ndio umtoe kimaisha ,kuna walio mkataa Prof J enzi hizo anajiita Niga J ila sasa hivi wanajigonga shenzi type .....mwishoni kaniua alipo omba gari la Dogo janja kwenda nalo kwenye Birthday
 
Chanzo cha matatizo ni pesa na wanawake,chunga sana alishasema SALU T.

Kwa huyo mwanamke,Dogo katiririka kila kitu.
 
Chanzo cha matatizo ni pesa na wanawake,chunga sana alishasema SALU T.

Kwa huyo mwanamke,Dogo katiririka kila kitu.
Demu amemuharibia sana dogo..Ila haya ndo matokeo ya kulazimisha penzi sometimes..Janjaro imemcost
 
Yaani huyo demu ndy kaona ujanja duh! Hajuwi anaweza msababishia huyo madudu zaidi kwenye carrier yake ya music KAVUSANA
 
Asee hii clip imenitia hasira na kuni alert kua makini na maongezi ya cm aseee
Mara nyingi sifanyi maongezi ya simu kwa jambo litakalo hatarisha mauhisiano yangu na watu ,najitahidi sana kutumia njia ya maongezi ya ana kwa ana sio rahisi kuacha ushaihidi
 
Nilikuwa sijaisikiliza vizuri, huyo demu ms*nge sana, anaongea utazan mtu wa maana then anaishia kukudhalilisha, halafu sikujua Kama dogo janja alirudi Tiptop
 
Uje utie sign mageton kwanza,,,,madem wa kibongo nyoko sana anaboy wake bado atagogwa kwa kuazima gar
 
Duuh kimeo hiki hapa hata kama walikuwa wanamfikiria nahis ndo watampotezea kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa (kama ni kweli)
 
Kwenye maongezi hayo Dogo janja amesikika akimponda Madee na Team nzima ya Tip top..
##Tuwe makini sana kwenye hii dunia ya kidijitali...Siri si siri tena##
Kilichofanyika ni kitu kinachoitwa udukuzi, hili ni kosa la jinai, dogo akiamua kula sahani moja na hicho kicheche, kinatany.a debe!.

Inaonekana demu alikuwa anamekodi na kumuuliza maswali ya kumlengesha, kisha akaituma kwa wahusika!, huwezi jua, labda anaekula mzigo ndio huyo huyo dogo aliyemponda!.

Haya ndio matokeo ya kutongo.a wanga, mtu unajieleza sana kisha unawangiwa!.

Dogo hana jinsi zaidi ya kuomba msamaha wana Tiptop, na awaeleze wazi kuwa kuponda ndio style yake ya kubomia

P.
 
So dogo njanja ni mchepuko tu maana anaambiwa "ukipiga simu usiku unaweza kukuta nipo na boyfriend wangu" Dah kwel wanaume tumeumbwa mateso,mateso kuhangaika.
 
Yule demu hana lolote ni mtafuta kiki tu.. Kama mi ndio janjaro ningemtafuta baada ya issue yangu na akina made kuisha.. Ningemfanyia kitu ambacho asingesahau maisha... Nyambafu
 
Back
Top Bottom