UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,673
- 12,265
Hahaha hawa dada zetu bana eti janjaro huna future mimi nataka mtu sio wa show off ,Janjaro hana future kisa ajatoa singo ?? Huyu si ni mtoto kabisa ndio kwanza anayaanza maisha na ni lazima muziki ndio umtoe kimaisha ,kuna walio mkataa Prof J enzi hizo anajiita Niga J ila sasa hivi wanajigonga shenzi type .....mwishoni kaniua alipo omba gari la Dogo janja kwenda nalo kwenye Birthday