Shukran kwa ushauri,Mkuu pH 7 kama hujapata suluhu ya tatizo lako la mguu wa kuku..jaribu kwenda nae katika duka la madawa ya mifugo ikiwa ni ugonjwa watakushauri cha kufanya.
Mkuu mi siwabembelezi kabisa kuku kwa sababu nimeamua ni business. Kuna bike mmoja alikuwa analalia mayai 18 sasa simu ya 17 akashinda nje, mie namwangalia tu. Nikamwambia wife chemsha maji. Ikafika saa kumi na mbili nikamkimbiza kwa hasira nikamkata kichwa kikawa kitoweo saafi.
Sasa upande wa pili nikaanza kupiga dili nafanyaje....nikakamata box la viroba vya konyagi nikashindilia maranda nikaweka mayai yote. Nikamkimbiza jike mwingine kwa hasira kwelikweli, na mabuti nakumbuka alikula. Nikamkamata nikamuweka ndani ya box kisha nikafunga na gundi. Mayai yake, yalikuwa 7 nikayaweka kwa jike mmoja alikuwa na mayai 10. Nimemfungia hadi siku ya tatu nikaanza kusikia chwiichwiii...kutoa vifaranga wote kaangua.
Nikambeba nikampa maji na tikiti nusu na msosi kisha nikamwendea yule was mayai 17 ambapo sasa alifikisha 19 nikamfukuza na nikamuweka huyu aliyetoka jela. Akalalia. Huyu sasa aliyefukuzwa nikamtia tena jela siku mbili katoka hana muda na mayai tena. Hapa naposema ndo kati ya wale ninaotazamia mwezi ujao atatotoa.
Vifaranga wako OK kabisa sema walinipa jambajamba maana ikawa bajeti ya kerosine ipo juu, wanataka joto wale. Leo kunguru kamkamata mmoja nimefoka balaa hom hapakaliki nataka kifaranga wangu. Wife kasema kesho analeta jike mmoja.
Kwenye business mie sitaki utani, na kuku wangu wanalijua hilo. Jogoo wangu juzi alitaka kuwa kitoweo baada ya kutoonyesha umahili wa kuwashugulikia matetea, wife kama kawaida nikamwambia bandika maji jikoni, bahati nzuri nikamuona kachachamaa anapanda fastafasta...detail uhuni mie.
Mkuu mi siwabembelezi kabisa kuku kwa sababu nimeamua ni business. Kuna bike mmoja alikuwa analalia mayai 18 sasa simu ya 17 akashinda nje, mie namwangalia tu. Nikamwambia wife chemsha maji. Ikafika saa kumi na mbili nikamkimbiza kwa hasira nikamkata kichwa kikawa kitoweo saafi.
Sasa upande wa pili nikaanza kupiga dili nafanyaje....nikakamata box la viroba vya konyagi nikashindilia maranda nikaweka mayai yote. Nikamkimbiza jike mwingine kwa hasira kwelikweli, na mabuti nakumbuka alikula. Nikamkamata nikamuweka ndani ya box kisha nikafunga na gundi. Mayai yake, yalikuwa 7 nikayaweka kwa jike mmoja alikuwa na mayai 10. Nimemfungia hadi siku ya tatu nikaanza kusikia chwiichwiii...kutoa vifaranga wote kaangua.
Nikambeba nikampa maji na tikiti nusu na msosi kisha nikamwendea yule was mayai 17 ambapo sasa alifikisha 19 nikamfukuza na nikamuweka huyu aliyetoka jela. Akalalia. Huyu sasa aliyefukuzwa nikamtia tena jela siku mbili katoka hana muda na mayai tena. Hapa naposema ndo kati ya wale ninaotazamia mwezi ujao atatotoa.
Vifaranga wako OK kabisa sema walinipa jambajamba maana ikawa bajeti ya kerosine ipo juu, wanataka joto wale. Leo kunguru kamkamata mmoja nimefoka balaa hom hapakaliki nataka kifaranga wangu. Wife kasema kesho analeta jike mmoja.
Kwenye business mie sitaki utani, na kuku wangu wanalijua hilo. Jogoo wangu juzi alitaka kuwa kitoweo baada ya kutoonyesha umahili wa kuwashugulikia matetea, wife kama kawaida nikamwambia bandika maji jikoni, bahati nzuri nikamuona kachachamaa anapanda fastafasta...sitaki uhuni mie.

kulea vifaranga wala si tatizo. kwahao kuku wako banda la bati 3 za mita 3 au 2.5 litakutosha. PM namba yako nikuelekeze cha kufanya dhidi ya vifaranga na kama utakuwa karibu na nilipo naweza kukutumia kitabu (bule) bila malipo nilicho toa SUA
Tuko pamoja pH7,mimi mwenyewe nimeanza na kuku 3 majike,jogoo m1,hv sas kuku m1 ametotoa,nina bata 4 kat ya hao 3 majike,mbuzi 2 jike & dume,hiz zote ni harakat za kujikwamua japo ujasiriamali unahitaji mtaji wa kutosha ila ndio hvo tena tunakomaa.Big Up!!
kulea vifaranga wala si tatizo. kwahao kuku wako banda la bati 3 za mita 3 au 2.5 litakutosha. PM namba yako nikuelekeze cha kufanya dhidi ya vifaranga na kama utakuwa karibu na nilipo naweza kukutumia kitabu (bule) bila malipo nilicho toa SUA
Mkuu
Hongera sana kwa kujikwamua kiuchumi,nilikuwa nafuga kuku mpaka wakafika 295 sasa kutokana na eneo ninaloishi lilikuwa dogo ilikuwa ni kero kubwa sana, ninayo plan ya kupata eneo kubwa ili niwe na nafasi ya kuwafugia vizuri.
Wakati nawauza kuku 200 niliwauza majike 12,000 na majogoo 18,000 huwezi amini nilipata order nyingi ndani ya siku 3 kuku wameisha,,
Tupo pamoja kwa kilimo naplan kufuga kuku wa kienyeji minimum 5000 kwa ajili ya mayai tu.
mkuu nami nikipata kitabu ntashukuru,,,nina majogoo mawili tu na matetea kama 6 wametotoa mzao wa kwanza kama vifarnga 45.
sasa hivi wanataga na kulalia ila huwa nawnyang'anya vifaranga. nitashukuru nikipata kitabu kwa maarifa zaidi mkuu.
Mkuu kuku wa kienyeji pure wanapatikana mahala pengi ila kwa msaada mzuri Cheki uzi Mbalimbali hapa jukwaani.