Faraja: Matokeo Ya Ufugaji Wa Kuku

Faraja: Matokeo Ya Ufugaji Wa Kuku

Mkuu pH 7 kama hujapata suluhu ya tatizo lako la mguu wa kuku..jaribu kwenda nae katika duka la madawa ya mifugo ikiwa ni ugonjwa watakushauri cha kufanya.
Shukran kwa ushauri,
nilimtafuta juzi bwana mifugo nikamuelekeza tatizo na kumuonyesha kuku akasema watakua walidonoana. Akasema muda mwingine kuku akikanyaga yai lililo pasuka basi wenzake humdonoa kwenye unyayo ili kula masalia ya hayo mayai, na nikakumbuka kuna siku nilikuta yai limepasuka nikaona inaweza kuwa sababu kuu.
 
Mkuu mi siwabembelezi kabisa kuku kwa sababu nimeamua ni business. Kuna bike mmoja alikuwa analalia mayai 18 sasa simu ya 17 akashinda nje, mie namwangalia tu. Nikamwambia wife chemsha maji. Ikafika saa kumi na mbili nikamkimbiza kwa hasira nikamkata kichwa kikawa kitoweo saafi.

Sasa upande wa pili nikaanza kupiga dili nafanyaje....nikakamata box la viroba vya konyagi nikashindilia maranda nikaweka mayai yote. Nikamkimbiza jike mwingine kwa hasira kwelikweli, na mabuti nakumbuka alikula. Nikamkamata nikamuweka ndani ya box kisha nikafunga na gundi. Mayai yake, yalikuwa 7 nikayaweka kwa jike mmoja alikuwa na mayai 10. Nimemfungia hadi siku ya tatu nikaanza kusikia chwiichwiii...kutoa vifaranga wote kaangua.

Nikambeba nikampa maji na tikiti nusu na msosi kisha nikamwendea yule was mayai 17 ambapo sasa alifikisha 19 nikamfukuza na nikamuweka huyu aliyetoka jela. Akalalia. Huyu sasa aliyefukuzwa nikamtia tena jela siku mbili katoka hana muda na mayai tena. Hapa naposema ndo kati ya wale ninaotazamia mwezi ujao atatotoa.

Vifaranga wako OK kabisa sema walinipa jambajamba maana ikawa bajeti ya kerosine ipo juu, wanataka joto wale. Leo kunguru kamkamata mmoja nimefoka balaa hom hapakaliki nataka kifaranga wangu. Wife kasema kesho analeta jike mmoja.

Kwenye business mie sitaki utani, na kuku wangu wanalijua hilo. Jogoo wangu juzi alitaka kuwa kitoweo baada ya kutoonyesha umahili wa kuwashugulikia matetea, wife kama kawaida nikamwambia bandika maji jikoni, bahati nzuri nikamuona kachachamaa anapanda fastafasta...detail uhuni mie.

hii ni kwel au ni noma
 
Mkuu mi siwabembelezi kabisa kuku kwa sababu nimeamua ni business. Kuna bike mmoja alikuwa analalia mayai 18 sasa simu ya 17 akashinda nje, mie namwangalia tu. Nikamwambia wife chemsha maji. Ikafika saa kumi na mbili nikamkimbiza kwa hasira nikamkata kichwa kikawa kitoweo saafi.

Sasa upande wa pili nikaanza kupiga dili nafanyaje....nikakamata box la viroba vya konyagi nikashindilia maranda nikaweka mayai yote. Nikamkimbiza jike mwingine kwa hasira kwelikweli, na mabuti nakumbuka alikula. Nikamkamata nikamuweka ndani ya box kisha nikafunga na gundi. Mayai yake, yalikuwa 7 nikayaweka kwa jike mmoja alikuwa na mayai 10. Nimemfungia hadi siku ya tatu nikaanza kusikia chwiichwiii...kutoa vifaranga wote kaangua.

Nikambeba nikampa maji na tikiti nusu na msosi kisha nikamwendea yule was mayai 17 ambapo sasa alifikisha 19 nikamfukuza na nikamuweka huyu aliyetoka jela. Akalalia. Huyu sasa aliyefukuzwa nikamtia tena jela siku mbili katoka hana muda na mayai tena. Hapa naposema ndo kati ya wale ninaotazamia mwezi ujao atatotoa.

Vifaranga wako OK kabisa sema walinipa jambajamba maana ikawa bajeti ya kerosine ipo juu, wanataka joto wale. Leo kunguru kamkamata mmoja nimefoka balaa hom hapakaliki nataka kifaranga wangu. Wife kasema kesho analeta jike mmoja.

Kwenye business mie sitaki utani, na kuku wangu wanalijua hilo. Jogoo wangu juzi alitaka kuwa kitoweo baada ya kutoonyesha umahili wa kuwashugulikia matetea, wife kama kawaida nikamwambia bandika maji jikoni, bahati nzuri nikamuona kachachamaa anapanda fastafasta...sitaki uhuni mie.

Haaaaaaahiiioiio yaaaani hii imenifurahisha kabisa,
 
Habari Mkuu!

Yaan leo hawa kuku nimeshindwa cha kuwafanya. Niliamka asubuhi sana kuenda kusafisha banda ile naingia Paaa... Hamad!! nakuta ndio wanaalizia yai nimeangalia banda Zima sijakuta hata masalia ya ute wa yai. Hapa ndipo nilipo pata jibu la Kwanini wiki hii sijapata mayai ya kutosha japokuwa kuna kuku wengine wawili wenye dalili kuwa wameanza kutaga.

Hapa najipanga kutengeneza chakula chenye choka ya kutosha tu, sijui kama itasaidia!

Kama kuna mbinu nyingine naombeni jamani maana wameniweza hawa viumbe wiki hii.Yaani mayai 8 kwa wiki!
 
kulea vifaranga wala si tatizo. kwahao kuku wako banda la bati 3 za mita 3 au 2.5 litakutosha. PM namba yako nikuelekeze cha kufanya dhidi ya vifaranga na kama utakuwa karibu na nilipo naweza kukutumia kitabu (bule) bila malipo nilicho toa SUA

Habari Mkuu!
Bado tunakusubiri ukipata muda tunaomba towekee softcopy ya hicho kitabu.
Natangulza Shukran.
 
Habari wadau!
Nahitaji kununua jogoo la kisasa kwa mwnye nalo ili nipandishie mitetea wangu wa kienyeji. Kwa Wajasiria mali waliopo mwanza itakuwa rahisi kufanya nao biashara.
 
Tuko pamoja pH7,mimi mwenyewe nimeanza na kuku 3 majike,jogoo m1,hv sas kuku m1 ametotoa,nina bata 4 kat ya hao 3 majike,mbuzi 2 jike & dume,hiz zote ni harakat za kujikwamua japo ujasiriamali unahitaji mtaji wa kutosha ila ndio hvo tena tunakomaa.Big Up!!
 
Shukran Ndugu, mimi nimeshapata eneo la kufugia so ndio najipanga nitafute pesa ya kujengea mabanda, niepukane na upangaji.

Nimejitahidi kuwa pm wadau waniptie ramani za mabanda ya kuku ili nitasmini pesa inayo hitajika ndio nasubiri mrejesho hapa. Nikisha pata tasmini napanga phase za kukamiisha plan yangu ii niokoe muda,

Kama utakua na ramani ya banda unaweza nisaidia mkuu.

Shukran.
 
Mkuu
Hongera sana kwa kujikwamua kiuchumi,nilikuwa nafuga kuku mpaka wakafika 295 sasa kutokana na eneo ninaloishi lilikuwa dogo ilikuwa ni kero kubwa sana, ninayo plan ya kupata eneo kubwa ili niwe na nafasi ya kuwafugia vizuri.
Wakati nawauza kuku 200 niliwauza majike 12,000 na majogoo 18,000 huwezi amini nilipata order nyingi ndani ya siku 3 kuku wameisha,,
Tupo pamoja kwa kilimo naplan kufuga kuku wa kienyeji minimum 5000 kwa ajili ya mayai tu.
 
kulea vifaranga wala si tatizo. kwahao kuku wako banda la bati 3 za mita 3 au 2.5 litakutosha. PM namba yako nikuelekeze cha kufanya dhidi ya vifaranga na kama utakuwa karibu na nilipo naweza kukutumia kitabu (bule) bila malipo nilicho toa SUA

mkuu nami nikipata kitabu ntashukuru,,,nina majogoo mawili tu na matetea kama 6 wametotoa mzao wa kwanza kama vifarnga 45.

sasa hivi wanataga na kulalia ila huwa nawnyang'anya vifaranga. nitashukuru nikipata kitabu kwa maarifa zaidi mkuu.
 
Mkuu
Hongera sana kwa kujikwamua kiuchumi,nilikuwa nafuga kuku mpaka wakafika 295 sasa kutokana na eneo ninaloishi lilikuwa dogo ilikuwa ni kero kubwa sana, ninayo plan ya kupata eneo kubwa ili niwe na nafasi ya kuwafugia vizuri.
Wakati nawauza kuku 200 niliwauza majike 12,000 na majogoo 18,000 huwezi amini nilipata order nyingi ndani ya siku 3 kuku wameisha,,
Tupo pamoja kwa kilimo naplan kufuga kuku wa kienyeji minimum 5000 kwa ajili ya mayai tu.

Ahsante Ndugu yangu
Hata mimi nimefikiria hilo mapema nime tafuta eneo changamoto niliyo nayo ni mtaji wa kujngea mabanda. ila kwa plan niliyo nayo nitachelewa kumaliza kujenga, kwa sababu ya pesa.

Uzuri waswahili tunasema, "Polepole ndio mwendo"
 
mkuu nami nikipata kitabu ntashukuru,,,nina majogoo mawili tu na matetea kama 6 wametotoa mzao wa kwanza kama vifarnga 45.

sasa hivi wanataga na kulalia ila huwa nawnyang'anya vifaranga. nitashukuru nikipata kitabu kwa maarifa zaidi mkuu.

Hongera sana mkuu,
 
Back
Top Bottom