MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Chanzo cha habariMaelfu ya wanajeshi wa FARD walioweka silaha chini na kujisalimisha kwa M23, leo hii wamehitimu mafunzo yao ya muda mfupi na kula kiapo kipya.
Wanajeshi hao baada ya kukabidhiwa sale mpya za M23, kulipwa mishahara yao, na kuahidiwa kuendelea kulipwa kila mwezi, wameanza safari mpya ya kwenda kupigana na jeshi walilokuwa wakilitumikia awali.
Siasa na hili tumbo, basi tu.
kozi ya mwez mmoja , wanawatumia kama chambo kupima nguvu ya aduiMaelfu ya wanajeshi wa FARD walioweka silaha chini na kujisalimisha kwa M23, leo hii wamehitimu mafunzo yao ya muda mfupi na kula kiapo kipya.
Wanajeshi hao baada ya kukabidhiwa sale mpya za M23, kulipwa mishahara yao, na kuahidiwa kuendelea kulipwa kila mwezi, wameanza safari mpya ya kwenda kupigana na jeshi walilokuwa wakilitumikia awali.
Siasa na hili tumbo, basi tu.
Sasa mtu akafie vitani , silaha hana,viatu havieleweki,mshahara hajui kama utaingia au vipi, familia ina njaa,bora uhasi tuMaelfu ya wanajeshi wa FARD walioweka silaha chini na kujisalimisha kwa M23, leo hii wamehitimu mafunzo yao ya muda mfupi na kula kiapo kipya.
Wanajeshi hao baada ya kukabidhiwa sale mpya za M23, kulipwa mishahara yao, na kuahidiwa kuendelea kulipwa kila mwezi, wameanza safari mpya ya kwenda kupigana na jeshi walilokuwa wakilitumikia awali.
Siasa na hili tumbo, basi tu.
Waasi wametoa wapi hizo pesa?Maelfu ya wanajeshi wa FARD walioweka silaha chini na kujisalimisha kwa M23, leo hii wamehitimu mafunzo yao ya muda mfupi na kula kiapo kipya.
Wanajeshi hao baada ya kukabidhiwa sale mpya za M23, kulipwa mishahara yao, na kuahidiwa kuendelea kulipwa kila mwezi, wameanza safari mpya ya kwenda kupigana na jeshi walilokuwa wakilitumikia awali.
Siasa na hili tumbo, basi tu.
Kwani, walitoa wapi pesa za kuendesha vita? Silaha walizo nazo lakini unazijua? Muasi wa kukimbiza serikali kiasi kile ni nani? Na isitoshe, hili jambo lilisukwa zaidi ya miaka kumi. Kwa hiyo, walijiandaa. Kuna mtu umesikia akiwataka watoke katika maeneo waliyoipokonya serikali? Hili likupe mwanga wa nini kinachoendelea.Waasi wametoa wapi hizo pesa?