FARDC yaahidi kuivaa FARDC

FARDC yaahidi kuivaa FARDC

MBOKA NA NGAI

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
350
Reaction score
576
Maelfu ya wanajeshi wa FARD walioweka silaha chini na kujisalimisha kwa M23, leo hii wamehitimu mafunzo yao ya muda mfupi na kula kiapo kipya.

Wanajeshi hao baada ya kukabidhiwa sale mpya za M23, kulipwa mishahara yao, na kuahidiwa kuendelea kulipwa kila mwezi, wameanza safari mpya ya kwenda kupigana na jeshi walilokuwa wakilitumikia awali.

Siasa na hili tumbo, basi tu.
 
Hizi nchi za Africa viongozi ni wabinafsi,wakati mwingine uangalie maslahi yako na siyo uzalendo,wahuni wachache wamejificha kwenye kichaka cha uzalendo huku wakienjoy maisha yao.
 
Maelfu ya wanajeshi wa FARD walioweka silaha chini na kujisalimisha kwa M23, leo hii wamehitimu mafunzo yao ya muda mfupi na kula kiapo kipya.
Wanajeshi hao baada ya kukabidhiwa sale mpya za M23, kulipwa mishahara yao, na kuahidiwa kuendelea kulipwa kila mwezi, wameanza safari mpya ya kwenda kupigana na jeshi walilokuwa wakilitumikia awali.

Siasa na hili tumbo, basi tu.
Chanzo cha habari
 
Wapigane tu wanajeshi wa DRC wanalipwa kiduchu mno kama laki tatu tu za kitz huku wabunge wao wakilamba 52m kila mwezi.Wanasiasa wa Africa ni mabingwa wa kuhubiri uzalendo majukwaani huku wao siyo wazalendo hata kidogo
 
Maelfu ya wanajeshi wa FARD walioweka silaha chini na kujisalimisha kwa M23, leo hii wamehitimu mafunzo yao ya muda mfupi na kula kiapo kipya.
Wanajeshi hao baada ya kukabidhiwa sale mpya za M23, kulipwa mishahara yao, na kuahidiwa kuendelea kulipwa kila mwezi, wameanza safari mpya ya kwenda kupigana na jeshi walilokuwa wakilitumikia awali.

Siasa na hili tumbo, basi tu.
kozi ya mwez mmoja , wanawatumia kama chambo kupima nguvu ya adui
 
Maelfu ya wanajeshi wa FARD walioweka silaha chini na kujisalimisha kwa M23, leo hii wamehitimu mafunzo yao ya muda mfupi na kula kiapo kipya.
Wanajeshi hao baada ya kukabidhiwa sale mpya za M23, kulipwa mishahara yao, na kuahidiwa kuendelea kulipwa kila mwezi, wameanza safari mpya ya kwenda kupigana na jeshi walilokuwa wakilitumikia awali.

Siasa na hili tumbo, basi tu.
Sasa mtu akafie vitani , silaha hana,viatu havieleweki,mshahara hajui kama utaingia au vipi, familia ina njaa,bora uhasi tu
 
Sithole countries, Waafrika wape silaha kisha kaa pembeni uone wanavyomalizana.
 
Maelfu ya wanajeshi wa FARD walioweka silaha chini na kujisalimisha kwa M23, leo hii wamehitimu mafunzo yao ya muda mfupi na kula kiapo kipya.

Wanajeshi hao baada ya kukabidhiwa sale mpya za M23, kulipwa mishahara yao, na kuahidiwa kuendelea kulipwa kila mwezi, wameanza safari mpya ya kwenda kupigana na jeshi walilokuwa wakilitumikia awali.

Siasa na hili tumbo, basi tu.
Waasi wametoa wapi hizo pesa?
 
Waasi wametoa wapi hizo pesa?
Kwani, walitoa wapi pesa za kuendesha vita? Silaha walizo nazo lakini unazijua? Muasi wa kukimbiza serikali kiasi kile ni nani? Na isitoshe, hili jambo lilisukwa zaidi ya miaka kumi. Kwa hiyo, walijiandaa. Kuna mtu umesikia akiwataka watoke katika maeneo waliyoipokonya serikali? Hili likupe mwanga wa nini kinachoendelea.

Wao lazima wajiweke karibu na kila mtu,ili wafanikishe mambo yao. Na ikiwa ni wewe, lazima umjali adversary wako ili ufanikiwe. Pesa wanazo. Kwani madini wao hawachimbi?
 
Back
Top Bottom