MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Maelfu ya wanajeshi wa FARD walioweka silaha chini na kujisalimisha kwa M23, leo hii wamehitimu mafunzo yao ya muda mfupi na kula kiapo kipya.
Wanajeshi hao baada ya kukabidhiwa sale mpya za M23, kulipwa mishahara yao, na kuahidiwa kuendelea kulipwa kila mwezi, wameanza safari mpya ya kwenda kupigana na jeshi walilokuwa wakilitumikia awali.
Siasa na hili tumbo, basi tu.