Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,655
Mmh labda wanasahau muda umekwisha. Maadam umewakumbusha basi na wafunge virago au pia nafasi zao ni suala nyeti la usalama wa Taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kina Jairo na Nyoni hawajastaafu hata kwa manufaa ya umma,sembuse hawa wanaoweza kurudisha nyuma miaka!RO na Ndugu yake Jaji Mkuu wote wameongeza miaka?kweli pesa za bure tamu sana!!!!Shemeji IGP SM nae si anakaribia kustaafu nae itabidi aongezewe muda!mwendo kulindana tu maana ni zamu yetu!homola tu!
Sijui kama KATIBA MPYA itatuokoa katika hili. Kenya wameweza. Kila nafasi inatangazwa na watu wanadahiliwa kwa uwazi kabisa.
mnatakiwa kutoa pongezi jamani kwa mwenzenu kumaliza utumishi wake... mumsubiri atatokea vipi kivingine...
La kwanza na kubwa kuliko yote kwangu ni ndege ya kijeshi kutoka falme za kiarabu, kuja na kupita kwenye raddar iliyonunuliwa kwa fedha za kufuru kwa kisingizio cha ulinzi na usalama, kisha dege hilo likatua pale KIA (UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA KILIMANJARO) , kisha dege hlo likabeba mamia ya wanyama pori wetu ambao ni alama ya utajiri wa taifa na urithi wa dunia.
Kisha dege hlo likaondoka na mpaka sasa haieleweki ni kipi kilifanywa au kimefanywa na hyo idara ya Bw RO, katika kurejesha hazina yetu iliyoibiwa na kuwawajibisha wote waliohusika.
Kwenye tukio hili ndio nilikubali kuwa TANZANIA NI TAIFA LA MAJUHA......
Hii nchi ya matwiga, wala sina hamu nayo
Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa anatakiwa awe anastaafu leo kwa mujibu wa sheria. Ametumikia chini ya Kikwete tangu miezi michache tu baada ya Rais Kikwete kuingia madarakani. Chini ya uongozi wake wa idara hii nyeti kabisa nchini ambayo haiko chini ya Katibu Mkuu Kiongozi mengi yametokea na kwa kiasi kikubwa mengi ya kufanya watu wakumbuke idara wakiwa na maswali mengi kichwani.
Tunaweza kuanza kuorodhesa mambo ambayo yameonesa ulegevu wa Idara ya Usalama wa Taifa katika ulinzi wa taifa chini ya uongozi wa Rashid Othman na Zoka (ambaye naye legally amestaafu lakini "bado yupo"). Kuna viongozi kadhaa wa Idara wanaotakiwa kustaafu hivi sasa lakini wote bado "wapo" na kuna dalili kuwa RO anataka Rais amuongezee muda ili wamalize wote 2015.