Farewell RO....

Farewell RO....

Status
Not open for further replies.
Mtu mwenyewe jina Radhid, labda angekuwa anaitwa Baregu au Lwaitama ndo angestaafu kwa muda unaotakiwa, huyo bwana ni poti poti!!
 
Mkuu huyu ni Mkuu wa usalama wa mafisadi, nchi haina Mkuu wa usalama wa Taifa tungekuwa naye madudu chungu nzima yanayofanyika nchini tena bila hatua zozote kuchukuliwa dhidi wa watendaji wa madudu hayo yangeshasahaulika miaka mingi.
Mkuu BAK, huku kukanusha kitu ambacho kipo na kudai hakipo kunaitwa "negation" kwa lengo la kujifariji tuu!. Facts remain facts kuwa Mkuu wa Usalama wa Taifa yupo, ila kwa vile Taifa hili ni taifa la mafisadi from top to butom, then huyu ni mkuu wa usalama wa taifa la mafisadi na kama mkuu wa usalama then jukumu lake pia ni kulinda huo usalama wa hao mafisadi wenye hilo taifa!.

Kwa msio jua who was behind Kagoda, tembeleeni hansard za bunge mjue Mama Meghji alieleza nini kuhusu fedha za Kagoda, zilichotwa kwa kazi gani na ilisimamiwa na nani?. RA was just a vehicle!. Please mwacheni RO amalize ngwe yake salama bila EPA nyingine ili amkabidhi huyo wa kwenu!. Hivi sasa wanafanya internal transformation kujiandaa kuikabidhi nchi kwa watakaochaguliwa 2015, hivyo sio busara kufanya mabadiliko makubwa!, vinginevyo mtakuwa hamkabidhiwi nchi!.
Pasco
 
kama viongozi wetu wangejengewa utaratibu baada ya kustaafu waende kulima, huu ulipaswa kuwa utaratibu kwa viongozi wote wakuu katika taifa hili, hii ingesaidia hata wananchi wa kawaida kuwa na hari au morali ya kazi ya kilimo, hapa tungetekeleza ile dhana ya kilimo kwanza kwa vitendo.
 
Kumbe wao ndiyo wanaamua!
(Ni hapo kwenye nyekundu.)

Taratibu naanza kuelewa kazi alizokuwa anafanya Kikula na mwenzake yule Mkurugenzi wa Mwanza ambaye tetesi zinasema anapelekwa Dar.
 
Mhhhh! Haya hutokea bongo tu! Kwani wakati wanampa hiyo post hawakujua tastafu muda si muda? Haya bana gharama kwa walipa kodi hiyo...

Huyu mleta mada kakurupuka tu hajuia analolisema, kwani watumishi kufanyakazi kwa mkataba itakuwa imeanzia huko idara ya usalama wa taifa?
 
Kumbe wao ndiyo wanaamua!
(Ni hapo kwenye nyekundu.)

Taratibu naanza kuelewa kazi alizokuwa anafanya Kikula na mwenzake yule Mkurugenzi wa Mwanza ambaye tetesi zinasema anapelekwa Dar.

Hizi propaganda za wanasiasa hazitatufika mbali, ndiyo yale yale wanafunzi wanafeli halafu wanasiasa wanawafuata na kuwapa pesa ili waandamane, hivi vyombo vya ulinzi tunavyovisakama ni sawa na kuupiga mawe mti wenye matunda. Hawa jamaa wanafanyakazi sana, tazama kila siku tunasikia majambazi wameuawa, majangili wamekamatwa, n,k hayo yote hatuyaoni na kuishia kushabikia wanasiasa ambao malengo yao ni kushika madaraka.
 
Kama kawaida porojo za Mwanakijiji, the sadest person. Mada zake siku zote ni chuki na husuda tu
 
kama viongozi wetu wangejengewa utaratibu baada ya kustaafu waende kulima, huu ulipaswa kuwa utaratibu kwa viongozi wote wakuu katika taifa hili, hii ingesaidia hata wananchi wa kawaida kuwa na hari au morali ya kazi ya kilimo, hapa tungetekeleza ile dhana ya kilimo kwanza kwa vitendo.

Hivi kumbe tatizo hapa ni watu kukosa vyeo? teh teh teh. Jamani tufanye kazi kwa bidii, hizi habari za majungu hazisaidii.
 
Mtu akikosa cha kuongea utamuona tu akipiga kelele, ndio hii mada ya Mwanakijiji. Utatumika mpaka ukome, siku ukijigundua jua limezama sijui utamlaumu nani
 
Kaka kawaida porojo za mwanakijiji, the sadest person. Mada zake siku zote ni chuki na husuda tu

Mimi nadhani wanasiasa wamegundua kuwa hiyo idara ya Usalama wa taifa haiyumbishwi kirahisi kama ambavyo wamejaribu kuyumbisha jeshi la polisi sasa wanajaribu kutafuta namna ya kuichafua.
 
Mm, unapenda sana kuichokonoa idara hii kwa kuwa ndio kikwazo kikubwa cha mafanikio yako na wakubwa zako mnaotaka kuivuruga nchi. Na hamtafanikiwa daima
 
mkurugenzi wa usalama wa taifa anatakiwa awe anastaafu leo kwa mujibu wa sheria. Ametumikia chini ya kikwete tangu miezi michache tu baada ya rais kikwete kuingia madarakani. Chini ya uongozi wake wa idara hii nyeti kabisa nchini ambayo haiko chini ya katibu mkuu kiongozi mengi yametokea na kwa kiasi kikubwa mengi ya kufanya watu wakumbuke idara wakiwa na maswali mengi kichwani.

Tunaweza kuanza kuorodhesa mambo ambayo yameonesa ulegevu wa idara ya usalama wa taifa katika ulinzi wa taifa chini ya uongozi wa rashid othman na zoka (ambaye naye legally amestaafu lakini "bado yupo"). Kuna viongozi kadhaa wa idara wanaotakiwa kustaafu hivi sasa lakini wote bado "wapo" na kuna dalili kuwa ro anataka rais amuongezee muda ili wamalize wote 2015.

kuchokonoa usalama wa taifa ni dalili kuu ya kukosa uzalendo.....kwani hatujui hata utendaji wake wa kazi zaidi ya kudanganyana tu huku mitaani
 
Mkuu BAK, huku kukanusha kitu ambacho kipo na kudai hakipo kunaitwa "negation" kwa lengo la kujifariji tuu!. Facts remain facts kuwa Mkuu wa Usalama wa Taifa yupo, ila kwa vile Taifa hili ni taifa la mafisadi from top to butom, then huyu ni mkuu wa usalama wa taifa la mafisadi na kama mkuu wa usalama then jukumu lake pia ni kulinda huo usalama wa hao mafisadi wenye hilo taifa!.

Kwa msio jua who was behind Kagoda, tembeleeni hansard za bunge mjue Mama Meghji alieleza nini kuhusu fedha za Kagoda, zilichotwa kwa kazi gani na ilisimamiwa na nani?. RA was just a vehicle!. Please mwacheni RO amalize ngwe yake salama bila EPA nyingine ili amkabidhi huyo wa kwenu!. Hivi sasa wanafanya internal transformation kujiandaa kuikabidhi nchi kwa watakaochaguliwa 2015, hivyo sio busara kufanya mabadiliko makubwa!, vinginevyo mtakuwa hamkabidhiwi nchi!.
Pasco

Ukitaka kumjua muongo mmbea na mwenye majungu angalia maandishi meku-ndu. Anabakia tu kusema wa kwenu, mara hakabidhiwi, akinanani? sema. Bora nijiondokee zangu kuliko kusoma upuuzi huu wa wanasiasa.
 
mimi nadhani wanasiasa wamegundua kuwa hiyo idara ya usalama wa taifa haiyumbishwi kirahisi kama ambavyo wamejaribu kuyumbisha jeshi la polisi sasa wanajaribu kutafuta namna ya kuichafua.

hao ni wazee wa kimya kimya mkuu, hata wakifanya zuri kiasi gani hutawasikia wakijisifu.
 
Mwanakijiji, naona unatekeleza majukumu ambayo huyajui. Natambua bayana kuwa hayo uyasemayo si utashi wako bali ni ya wale waliokutuma ambao wanaona Idara ya Usalama wa Taifa kama ni adui kwao au ni kikwazo cha kutekeleza matakwa yao ya kisiasa. Hawa watu wamejaribu kuchafua image ya jeshi la polisi, jeshi la wananchi na sasa Idara ya Usalama wa Taifa kwa matakwa yao ya kisiasa. Baada ya jaribio la Dr. Slaa la kumtaka Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama ajiuzulu kwa madai kuwa idara imeiba kura ili ccm ishinde uchaguzi wa mwaka 2010, kumekuwa na majaribio kadhaa ya kuihusisha idara hiyo nyeti na mambo yote mabaya yanayotokea katika nchi hii ikiwemo tukio la kuteswa na kuumizwa kwa dr ulimboka. watu hao walikuja kuumbuka baada ya dr ulimboka mwenyewe kutoihusisha idara katika tukio hilo ingawa walimshawishi aitaje idara na watumishi wa idara hiyo wakati akiwa mahututi. na wengine walio wanafiki akiwemo Bi Ananilea Nkya, Ussu Malia na huyu Mrundi Kijo Bisimba walidiriki hata kuandaa mapokezi makubwa wakati anatoka matibabu nchini Afrika ya Kusini kwa matarajio kuwa ulimboka sasa ni wakati wake wa ''kuiimbua idara''.

nakuomba mwanakijiji utambue kuwa pamoja na changamoto zilizopo nchini za kiuchumi na kijamii, nchi ya Tanzania imekuwa kiigizo chema katika jumuiya za kimataifa kutokana na uimara na uthabiti wa chombo chetu cha Idara ya Usalama. aidha, mwanakijiji na wenzako wenye mawazo au msimamo hasi dhidi ya Usalama wa Taifa, mtambue kuwa idara haipo kwa maslahi ya mtu mmoja mmoja na kwamba kama ingekuwa inafanya hivyo basi isingekuwa na maana ya kuitwa jina la usalama wa taifa.

halafu , kama mna mawazo kuwa endapo Othman ataondoka, basi atateuliwa mtu ambaye mtamtumia kwa matakwa yenu ya kisiasa huko ni kujidanganya. kumbukeni kuwa idara ya usalama ni taasisi halali na hufanya mambo yake kwa mujibu wa sheria na wala haiongozwi kutokana na utashi wa mtu au maelekezo kutoka ccm au ikulu.
 
Mtu mwenyewe jina Radhid, labda angekuwa anaitwa baregu au rwaitama ndo angestaafu kwa muda unaotakiwa, huyo bwana ni poti poti!!

UDINI udini utatumaliza sana tu watanzania, kumbe tatizo hapa ni jina na siyo umri tena? kazi ipo! Basi RASHID aondoke aingie PETER SLAA au vipi. Nimesha kuwa bored, hivi tutafika wapi na udini udini huu.
 
RO sio mwanasiasa, atastaafu wakati wake ukifika, siasa zenu za maji taka kazifanyieni huko huko
 
Mzee Mwanakijiji,
Humo serikalini na taasisi zake za umma watu wenye nyadhifa kubwa hawataki kustaafu kabisa kama Robert Mugabe! Umezuka mtindo wa kupeana mikataba hadi inakera na kukatisha tamaa vijana wasomi tulionao kwa sasa.

Its a new wa of tolerating incompetence!!! Incompetent people when given more time to serve gives them pleasure....
 
Mwanakijiji, kitu cha muhimu unachopaswa kutambua ni kuwa, hao wanaokupa taarifa kuhusu mambo yanayoendelea ndani ya Idara ya Usalama ni watu hatari, wanafiki ingawa natambua kuwa taarifa wanazokupa si timilifu na zenye mashaka. kumbuka hata huyo Dr Slaa anatamba kuwa ana masource ndani ya idara ya usalama, ingawa kile anachokisema mara nyingi kinakuja kubainika kuwa ni uzushi. hiyo inatoa ishara kuwa hata kama mnajidanganya mna watu, afisa wa idara makini hawezi kuwapa taarifa za ukweli. pia mtambue kuwa endapo mnawaamini na kuwatumia watu hao kwa matakwa yenu ya kisiasa, basi mjue kuwa hao ni watu hatali na ipo siku watakuja kuwageuka.
 
Its a new wa of tolerating incompetence!!! Incompetent people when given more time to serve gives them pleasure....

The vice versa also is true, Competent people are like trees with sweet fruits, are the ones who are always beaten by stones.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom