Farewell RO....

Farewell RO....

Status
Not open for further replies.
Hivi intelligence unit ya CHADEMA imefanya mambo gani makubwa zaidi ya kuendelea kuzua tu. mara eeee dr slaa ametishiwa kuuawa, mara eeee lema anafuatiliwa hadi hotelini. wacha hizo. intelligence inapenda kuropoka. halafu mnajifananisha na KGB, CIA MI-6
 
utaifakwanza tufike mahali tuwe wakweli na tusiwe watu wa kukopi mawazo ya watu wengine na kuyahamishia kwenye akili zatu; hivi watoto wa kule Kibosho, Marangu, Rombo, Mwika, Gairo, Naibili, Masama, Dongo Besh, Haydom, Bashnet, Ifakara, Ikwiriri, Lugoba, Mazinde, Hanang, Siwandeti, Mwandeti, Mwandete hao wana "internet access"? Njooni na sababu nyingine za watoto kufeli lakini hili la "facebook" ni sababu ya kufikirika lakini si kweli

Heh heh heh heh, hivi facebook, twitter, tagged n.k kwani tunahitaji kuwa na laptop, desktop au Ipad? Simu, cafe zinatosha. Bado TV unataka kuniambia vijijini hakuna TV? hakuna vibanda vya movie? sema mengine lakini siyo hayo mkuu.
 
Jichola3 umewahi kufika Dongobesh au maeneo ya vijiji yanafanana na Dongobesh? hayo unayozungumza ni kwa maeneo ya majiji, miji na miji midogo sehemu za vijijini kwanza hata umeme ni bidhaa adimu; swala la kuwa na simu nalo ni bidhaa adimu kwa watoto wa vijijini.
 
Hivi intelligence unit ya CHADEMA imefanya mambo gani makubwa zaidi ya kuendelea kuzua tu. mara eeee dr slaa ametishiwa kuuawa, mara eeee lema anafuatiliwa hadi hotelini. wacha hizo. intelligence inapenda kuropoka. halafu mnajifananisha na KGB, CIA MI-6

Hivi CDM nao kumbe wana idara yao ya usalama? au ndo ile inayoongozwa na mabere Marando, kuna siku nilimuona kwenye TV anasema wamenasa vifaa vilivyonunuliwa na CCM huko ISRAEL kuingilia mawasiliano ya simu zao. Ila alijitokeza CCM ilipowatuhumu kuwa MNYIKA anamtumia mwigullu Mchemba sms za vitisho, jambo ambalo watu wameanza kusema mitaani kuwa yawezekana ni kweli MNYIKA alifanya hivyo kutokana na tabia yake ya hivi karibuni ya kutoa hadharani namba za simu za viongozi waandamini wa serikali na BUNGE.
 
Wewe mwenye kubwa unajadili nini?
Nime-search kupata thread ulizoanzisha za kujadili issues, sijapata hata moja.

HOPELESS!

ndio mana nikasema watu wenye akili kama yako hujadili watu badala ya issues...
 
Jichola3 umewahi kufika Dongobesh au maeneo ya vijiji yanafanana na Dongobesh? hayo unayozungumza ni kwa maeneo ya majiji, miji na miji midogo sehemu za vijijini kwanza hata umeme ni bidhaa adimu; swala la kuwa na simu nalo ni bidhaa adimu kwa watoto wa vijijini.

Naweza kukutajia shule za kule kwetu Manyara Kuanzia Mbulu mjini, TLAWI, BASHAY, DONGOBESH, MARETADU, HADI HYDOM na kwenda mpaka BASOTU, DAREDA, BABATI kurudi hadi MAGUGU, shule zote hizo haziko remote areas kiasi cha kukosa hata umeme wa kuwasha TV, Redio, Simu n.k. labda ungekuja na shule zingine lakini hizo nazifahamu na hizo huduma zote nilizozitaja zipo.
 
Rudi Face book.
huku hapakufai hata kidogo.

Kwangu ni ushindi kwa sababu sasa hauna hoja tena na hili nililijua kuwa mnakuja na mada zetu kutupotezea muda wa kujadili masuala yenye tija huku mkijua mtaishia kutukana.
 
Naweza kukutajia shule za kule kwetu Manyara Kuanzia Mbulu mjini, TLAWI, BASHAY, DONGOBESH, MARETADU, HADI HYDOM na kwenda mpaka BASOTU, DAREDA, BABATI kurudi hadi MAGUGU, shule zote hizo haziko remote areas kiasi cha kukosa hata umeme wa kuwasha TV, Redio, Simu n.k. labda ungekuja na shule zingine lakini hizo nazifahamu na hizo huduma zote nilizozitaja zipo.
Jichola3 kwa hiyo kwa akili na mtazamo wako vijana wa sehemu ulizotaja wamefeli kwa sababu ya "facebook"?
 
Last edited by a moderator:
Tofauti yangu na yako ni kwamba, sijaajiriwa kufanya mambo ya ki.se.nge kama wewe.

Tulianza kujibizana kwa hoja, sasa kama umeishiwa, huna sababu ya kutukana mkuu,hili jukwaa la gteat thinkers ukiishiwa unakaa pembeni wenye hoja tunaendelea au vipi.
 
Hivi CDM nao kumbe wana idara yao ya usalama? au ndo ile inayoongozwa na mabere Marando, kuna siku nilimuona kwenye TV anasema wamenasa vifaa vilivyonunuliwa na CCM huko ISRAEL kuingilia mawasiliano ya simu zao. Ila alijitokeza CCM ilipowatuhumu kuwa MNYIKA anamtumia mwigullu Mchemba sms za vitisho, jambo ambalo watu wameanza kusema mitaani

WANAYO BANA, ina watu ambao ni reject wa taasisi na idara mbalimbali za umma na serikali. kuna mmoja alijitangaza kuwa alikuwa mtumishi wa idara ya usalama wa taifa. akachukuliwa na CHADEMA, wakamvalisha magwanga na wakamteua kuwa Mwenyekiti wa Tawi la CHADEMA, WASHINGTON, baadaye wakamtoa kwenye nafasi hiyo ili aendelee kufanya kazi za intelligence. alijitangaza mwenyewe mbele ya sisi wananchi tunaoishi huku Washington. yupo jamaa mmoja bwana halafu ni mtaalam wa masuala ya IT. SI HUYU BWANA...................................
 
NIMTAJEEEEEE NISIMTAJEEEEEEEE. Si huyu bwana Jina lake linaanza na K. la kati ni A na la mwisho ni P.
 
Wataalamu wanaojua ufanyaji kazi serikalini kwa mkataba iwapo ulishastaafu au muda wa kustaafu umefika.je ni watumishi wa aina gani? Maana hata vyuo vikuu vya serikali vna mawizara kumejaa vibabu ambao mda wau umesha expire.labda kuna sababu maalumu na sio watu wa idara ya usalama taifa pekeyao.
 
Ninawaona maafisa usalama wa ccm wameamua kuja kuharibu thread ya Mzee Mwanakijiji.Uzalendo wenu kwa nchi yetu uko wapi ndugu zangu?utaifa kwanza,jicho la 3 na Atongwele

Acheni kutumika kutugawa watanzania kwa minajili ya udini,ukabila na ukanda.Hakika mwisho wenu utakuwa mbaya.

KACHUKUE POSHO SASA. SI TAYARI umewajua hao maafisa usalama wa ccm. huko ni kuelemewa na hoja.
 
I have never seen a war which the army has been using the most skilled warrior that has lost his heart...simple! Its because the warrior has got no use at all!
 
Halafu mtu kama huyu akiwa anastaafu hamna vyombo vya habari vinavyoripoti hilo suala? Au ni nyeti?
 
CHUNGA SANA HAWA WATU.... Hawajamalizia kazi waliyopangiwa kuifanya... mulizeni Mwakyembe anajua kazi waliyopangiwa hawajakamilisha.

Hivi kichwa nacho kinaweza kufikiri kwa hisia kweli? naona kama mawzo mengi humu ni hisia tu. Tunafikiri kufanya hivyo tunaweza kufikia malengo yetu ya kisiasa, kiuchumi n,k
 
Ninawaona maafisa usalama wa ccm wameamua kuja kuharibu thread ya Mzee Mwanakijiji.Uzalendo wenu kwa nchi yetu uko wapi ndugu zangu?utaifa kwanza,jicho la 3 na Atongwele

Acheni kutumika kutugawa watanzania kwa minajili ya udini,ukabila na ukanda.Hakika mwisho wenu utakuwa mbaya.

kwa taarifa yako watanzania hawagawanyiki. bado ni watanzania na wataendelea kuwa hivyo. naona wewe ubongo wako umepinda maana ni mvivu wa kufikiri na hutaki kukubali challenges. kwa hali hiyo hapa jf hapakufai. bahati mbaya zaidi hoja zako hazina mantiki. umebaki kubwabwaja tu. sisi tunamtaka mwenyewe mwanakijiji atetee hoja. maana alichokifanya yeye ni umbea na majungu huku udini ukimsukuma kufanya hivyo.
 
Halafu mtu kama huyu akiwa anastaafu hamna vyombo vya habari vinavyoripoti hilo suala? Au ni nyeti?

Duh! yaani hata mtu kustaafu yanahiitajika maandamano? nilikuwa nasikia wimbo mmoja kule kenya unasema, "NCHI YA KITU KIDOGO" naona hata tanzania tunataka kuifanya nchi ya maandamano.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom