Halafu mtu kama huyu akiwa anastaafu hamna vyombo vya habari vinavyoripoti hilo suala? Au ni nyeti?
ndiyo utakavyoona umbea na ushangingi wa mwanakijiji. wakuu wote wa vyombo vya dola wanavyostaafu taarifa zao huwa bayana. au kuna mtu kainyemelea hiyo hiyo nafasi kwa muda mrefu sasa ameona ndo wakati muafaka wa kushinikiza umma uandamane kwa mambo ya kipuuzi na uzushi