utaifakwanza tufike mahali tuwe wakweli na tusiwe watu wa kukopi mawazo ya watu wengine na kuyahamishia kwenye akili zatu; hivi watoto wa kule Kibosho, Marangu, Rombo, Mwika, Gairo, Naibili, Masama, Dongo Besh, Haydom, Bashnet, Ifakara, Ikwiriri, Lugoba, Mazinde, Hanang, Siwandeti, Mwandeti, Mwandete hao wana "internet access"? Njooni na sababu nyingine za watoto kufeli lakini hili la "facebook" ni sababu ya kufikirika lakini si kweli
Jichola3 umewahi kufika Dongobesh au maeneo ya vijiji yanafanana na Dongobesh? hayo unayozungumza ni kwa maeneo ya majiji, miji na miji midogo sehemu za vijijini kwanza hata umeme ni bidhaa adimu; swala la kuwa na simu nalo ni bidhaa adimu kwa watoto wa vijijini.Heh heh heh heh, hivi facebook, twitter, tagged n.k kwani tunahitaji kuwa na laptop, desktop au Ipad? Simu, cafe zinatosha. Bado TV unataka kuniambia vijijini hakuna TV? hakuna vibanda vya movie? sema mengine lakini siyo hayo mkuu.
Hivi intelligence unit ya CHADEMA imefanya mambo gani makubwa zaidi ya kuendelea kuzua tu. mara eeee dr slaa ametishiwa kuuawa, mara eeee lema anafuatiliwa hadi hotelini. wacha hizo. intelligence inapenda kuropoka. halafu mnajifananisha na KGB, CIA MI-6
Wewe mwenye kubwa unajadili nini?
Nime-search kupata thread ulizoanzisha za kujadili issues, sijapata hata moja.
HOPELESS!
Jichola3 umewahi kufika Dongobesh au maeneo ya vijiji yanafanana na Dongobesh? hayo unayozungumza ni kwa maeneo ya majiji, miji na miji midogo sehemu za vijijini kwanza hata umeme ni bidhaa adimu; swala la kuwa na simu nalo ni bidhaa adimu kwa watoto wa vijijini.
Rudi Face book.
huku hapakufai hata kidogo.
Jichola3 kwa hiyo kwa akili na mtazamo wako vijana wa sehemu ulizotaja wamefeli kwa sababu ya "facebook"?Naweza kukutajia shule za kule kwetu Manyara Kuanzia Mbulu mjini, TLAWI, BASHAY, DONGOBESH, MARETADU, HADI HYDOM na kwenda mpaka BASOTU, DAREDA, BABATI kurudi hadi MAGUGU, shule zote hizo haziko remote areas kiasi cha kukosa hata umeme wa kuwasha TV, Redio, Simu n.k. labda ungekuja na shule zingine lakini hizo nazifahamu na hizo huduma zote nilizozitaja zipo.
Tofauti yangu na yako ni kwamba, sijaajiriwa kufanya mambo ya ki.se.nge kama wewe.
Hivi CDM nao kumbe wana idara yao ya usalama? au ndo ile inayoongozwa na mabere Marando, kuna siku nilimuona kwenye TV anasema wamenasa vifaa vilivyonunuliwa na CCM huko ISRAEL kuingilia mawasiliano ya simu zao. Ila alijitokeza CCM ilipowatuhumu kuwa MNYIKA anamtumia mwigullu Mchemba sms za vitisho, jambo ambalo watu wameanza kusema mitaani
akili ndogo hujadili watu....
Ninawaona maafisa usalama wa ccm wameamua kuja kuharibu thread ya Mzee Mwanakijiji.Uzalendo wenu kwa nchi yetu uko wapi ndugu zangu?utaifa kwanza,jicho la 3 na Atongwele
Acheni kutumika kutugawa watanzania kwa minajili ya udini,ukabila na ukanda.Hakika mwisho wenu utakuwa mbaya.
CHUNGA SANA HAWA WATU.... Hawajamalizia kazi waliyopangiwa kuifanya... mulizeni Mwakyembe anajua kazi waliyopangiwa hawajakamilisha.
Ninawaona maafisa usalama wa ccm wameamua kuja kuharibu thread ya Mzee Mwanakijiji.Uzalendo wenu kwa nchi yetu uko wapi ndugu zangu?utaifa kwanza,jicho la 3 na Atongwele
Acheni kutumika kutugawa watanzania kwa minajili ya udini,ukabila na ukanda.Hakika mwisho wenu utakuwa mbaya.
Halafu mtu kama huyu akiwa anastaafu hamna vyombo vya habari vinavyoripoti hilo suala? Au ni nyeti?