Halafu mtu kama huyu akiwa anastaafu hamna vyombo vya habari vinavyoripoti hilo suala? Au ni nyeti?
Wataalamu wanaojua ufanyaji kazi serikalini kwa mkataba iwapo ulishastaafu au muda wa kustaafu umefika.je ni watumishi wa aina gani? Maana hata vyuo vikuu vya serikali vna mawizara kumejaa vibabu ambao mda wau umesha expire.labda kuna sababu maalumu na sio watu wa idara ya usalama taifa pekeyao.
KACHUKUE POSHO SASA. SI TAYARI umewajua hao maafisa usalama wa ccm. huko ni kuelemewa na hoja.
Wataalamu wanaojua ufanyaji kazi serikalini kwa mkataba iwapo ulishastaafu au muda wa kustaafu umefika.je ni watumishi wa aina gani? Maana hata vyuo vikuu vya serikali vna mawizara kumejaa vibabu ambao mda wau umesha expire.labda kuna sababu maalumu na sio watu wa idara ya usalama taifa pekeyao.
Duh! yaani hata mtu kustaafu yanahiitajika maandamano? nilikuwa nasikia wimbo mmoja kule kenya unasema, "NCHI YA KITU KIDOGO" naona hata tanzania tunataka kuifanya nchi ya maandamano.
Basi tu watu wanakuja na mada za ajabu sana humu JF. Ndo wale wale wanapigania kuchanja, jambo ambalo halina tija kabisa kwa mkiristo au mwislamu.
Mkuu, majibu yanazingatia viwango, usitegemee useme utumbo, then ujibiwe jambo la maana. Mimi naona hao jamaa kama vile wana hoja za msingi kuhusiana a suala zima la ajira za serikali, sasa unapokosa hoja za kupingana nao ukaanza matusi, matokeo yake ndiyo hayo unaambiwa ukapokee posho. Halafu sijui kwa nini ukasirike kuambiwa hivyo, huenda kuna kaukweli ndani yake utakuwa umeguswa kwa namna moja au nyingine, jambo ambalo ni hatari sana kutumiwa na wanasiasa kuleta mijadala ambayo ina lengo la kuwafedhehesha viongozi na wananchi kwa ujumla.Umezungumza hoja gani ya maana zaidi ya vioja?
Pameingiliwa na mbumbumbu hapa!
Mkuu, majibu yanazingatia viwango, usitegemee useme utumbo, then ujibiwe jambo la maana. Mimi naona hao jamaa kama vile wana hoja za msingi kuhusiana a suala zima la ajira za serikali, sasa unapokosa hoja za kupingana nao ukaanza matusi, matokeo yake ndiyo hayo unaambiwa ukapokee posho. Halafu sijui kwa nini ukasirike kuambiwa hivyo, huenda kuna kaukweli ndani yake utakuwa umeguswa kwa namna moja au nyingine, jambo ambalo ni hatari sana kutumiwa na wanasiasa kuleta mijadala ambayo ina lengo la kuwafedhehesha viongozi na wananchi kwa ujumla.

sure kaka. hawa jamaa wanaanzisha mijadala ambayo haina tija kwa taifa kwa lengo la kudai posho tu. watu wenyewe wengi wamepata division 0 form four. waliosurvive wana credit ambazo haziuziki. wachache wanaojiita ma genious ndo chuo hawataki kwenda wanaogopa kuliwa vichwa. wamesoma shule ambazo zilikuwa zinashiriki katika wizi wa mitihani ndo maana anatamba eti kapata A Tisa.
A tisa imeingiaje kwenye ishu ya Othman? swali ni Othman Rashid anaondoka lini kwenye ofisi ya umma baada ya muda wake wa kustaafu kufika?acha vioja wewe mwanausalama wa ccm
Kwa mawazo yangu mambo mawili yanatishia uhai wa taifa letu
(1) muungano, kuna matukio/matendo ya watu ambayo yalipaswa kuonekana mapema na chombo hiki na hatua stahiki kuvhukuliwa;
(2) udini: matendo ya uchochezi ya waziwazi ambayo yalitedeka au yanaendelea kutendeka na inaonekana 'hayaonwi' na chombo hiki muhimu ambayo yanachochea mgawanyiko wa kidini.
Tanzania inaliwa na wenye meno wachache. Swali, Je hii hali itaendelea mpaka lini?
Atongwele nina wasiwasi na elimu yako. Unakurupukakurupuka kama fresher vile. Hoja za CHADEMA zinakujaje hapa kwenye topic? Dr. Slaa ameingiaje kwenye mjadala wetu? Dr. Ulimboka alidai kutekwa na kuteswa na TISS. Huoni Usalama wa Taifa letu haulindi wanyonge au walala hoi. There are two schools of Opinions/Thoughts. Timorous Souls na Bold Spirits. Wewe unaangukia kundi lipi? Definitely wewe ni Timorous Soul yaani hutaki mabadiliko hata kama Taifa linaangamia kwa kukosa Maarifa. Tatizo siyo DINI bali uwezo wa mtu kuongoza Idara Nyeti. Harry Kitilya ameongezewa muda pale TRA kwa sababu ya weledi wake na siyo DINI. NakemeaUdini nawe ni tatizo humu jamvini maana unafikiri waislamu walioko madarakani wanachukiwa na wakristo. Siyo kweli kabisa. Dr. Shukuru Kawambwa akiwa waziri wa Ujenzi barabara zilijengwa chini ya viwango. Mfano ni Kilwa Road pale Mivinjeni lami ni kama bazooka au big G na juzi mjenzi karudia kule Mtoni hadi Mbagala Rangi Tatu lakini imekula kwetu pale Mivinjeni. Kule Sekenke - Singida kampuni ya CHICCO inarudia upya baada ya Magufuli kurudia Ofisi yake ya Zamani. Blunders zote ni za Dr. Shukuru Kawambwa muislamu unayedai anaonewa gere na wakristo. Jamani msikurupuke kutetea uchafu. Ningekuwa JK ningemstaafisha DR. Shukuru Kawambwa kwa manufaa ya Umaa. Matokeo ya Form IV 2012 ya Div Zero nusu milioni siyo masihara hata kidogo......Tafakari chukua hatua