Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo shule zako zimekudumaza sana ubongo.....Maoni yangu kama Likud.
Likud anapokuwa anawaambia hapa jukwaani nyinyi wazazi mnao jinyima ili watoto wenu wapate " elimu bora" kwenye shule za kiingereza muwe mnatambua kwamba lengo langu ni kuwasaidieni ninyi na vizazi vyenu. Hakuna elimu bora yoyote inayo tolewa kwenye hizo mnazo ziita shule za English Mediums.
KWA SABABU 👇
Elimu bora ina sifa kuu tatu kama ifuatavyo👇
1. It helps you to acquire power.
2. It helps you to maintain power.
3. It helps you to protect power.
Elimu yoyote ambayo haikusaidii ku acquire power haina hadhi ya kuitwa elimu bora na wala hutakiwi kulipa mamilioni kuipata.
Kwa bahati mbaya sana hakuna shule yoyote ya English Medium Afrika yenye uwezo wa kutoa elimu yenye vigezo tajwa hapo juu. In fact hata duniani kwa ujumla zipo shule chache sana zenye uwezo huo.
English Medium ni Kayumba zilizo changamka. Mtoto anaenda kukua tu na kujifunza kusoma kuandika na kuhesabu.
Kuliko kujistress kupoteza mamilioni yako kumpeleka English Medium kwanini usimpeleke Kayumba halafu umsimamie kwa ukaribu? Okoa hizo pesa kwa ku invest kwenye mambo mengine na vitabu plus programmes za kumfanya mtoto wako aanze kupata maarifa mapana from his tender age.
Don't stress urself mkuu life is not that hard bro.
Hivi ukimchukuwa profesa aliyekulia na kusomea Lukuledi huko atamshinda mwingereza aliyesoma elementary education tu kwenye mambo ya kileo kama matumizi ya simu, kudafiri kwa ndege n.k? Exposure inapatika kwa kuwa exposed kwenye ulimwengu tofauti tofauti na ule uliozaliwa na siyo darasa lililo kijiji ulichozaliwa. Exposure is a broader concept encompassing the diverse range of experiences one encounters, while education specifically refers to the intentional and systematic acquisition of knowledge and skills. Upo?Kuna uhusiano mkubwa sana, tena sana kaa ujiulize usikurupuke.
Binadamu aliyeelimika vizuri yupo more exposed kuliko binadamu asiyeelimika.
Mwenye elimu ni rahisi sana kucheck in airport kwa kutumia kiosk, bila hata kufundishwa lakini mtu asiyeelimika ni kazi sana kutumia vitu kama hivyo.
Hata kujumlisha tu chenji kamili ni kazi mpaka azoee.
kuna vitu vinapima elimu ya jamii, kimojawapo ni exposure.
Ohoo. Nimekumbuka. Unajua nilikuwa nahisi ni jina la kishamba-shamba hivi lakini nilikuwa nimesahau kuwa ni yule wa Bushstars...🤣🤣🤣🤣Kobello alikuwa mchezaji maarufu kwenye team Moja ilikuwa inaitwa Bushstars. wahenga tunaijua
Huwezi amini nilivyosoma Nimecheka nikamkumbuka direct yule jamaa...old sweet days before tvOhoo. Nimekumbuka. Unajua nilikuwa nahisi ni jina la kishamba-shamba hivi lakini nilikuwa nimesahau kuwa ni yule wa Bushstars...
Una point ya msingi. Mwenye kusikia na kuelewa akueleweMaoni yangu kama Likud.
Likud anapokuwa anawaambia hapa jukwaani nyinyi wazazi mnao jinyima ili watoto wenu wapate " elimu bora" kwenye shule za kiingereza muwe mnatambua kwamba lengo langu ni kuwasaidieni ninyi na vizazi vyenu. Hakuna elimu bora yoyote inayo tolewa kwenye hizo mnazo ziita shule za English Mediums.
KWA SABABU [emoji116]
Elimu bora ina sifa kuu tatu kama ifuatavyo[emoji116]
1. It helps you to acquire power.
2. It helps you to maintain power.
3. It helps you to protect power.
Elimu yoyote ambayo haikusaidii ku acquire power haina hadhi ya kuitwa elimu bora na wala hutakiwi kulipa mamilioni kuipata.
Kwa bahati mbaya sana hakuna shule yoyote ya English Medium Afrika yenye uwezo wa kutoa elimu yenye vigezo tajwa hapo juu. In fact hata duniani kwa ujumla zipo shule chache sana zenye uwezo huo.
English Medium ni Kayumba zilizo changamka. Mtoto anaenda kukua tu na kujifunza kusoma kuandika na kuhesabu.
Kuliko kujistress kupoteza mamilioni yako kumpeleka English Medium kwanini usimpeleke Kayumba halafu umsimamie kwa ukaribu? Okoa hizo pesa kwa ku invest kwenye mambo mengine na vitabu plus programmes za kumfanya mtoto wako aanze kupata maarifa mapana from his tender age.
Don't stress urself mkuu life is not that hard bro.
Hivi huwa mnakosa vitu vya kuanzishia thread!?...Mwingine huyu hapa 👇
Sio teacher Thomas...ni teacher Thooom..Wewe endelea kupeleka hela kwa Teacher Thomas siku moja utaiona
Hivi Kwa Nini Huwa unaniquote nisome comment za watu ambao vichwa na mitazamo yenu ni sawa?
🤣🤣🤣🤣Anachanganya mambo au sio?Sio teacher Thomas...ni teacher Thooom..
Kwa hiyo hizi picha umeshindwa kuzipanga zisomeke ama?Jingine lingine hili hapa 👇
Elimu haijapoteza mvuto, mambo yamebadilika na watu wenye elimu wamekuwa wengi sana na hakuna waajiri wa kuweza kuajiri wasomi wote. Hiyo hali imepelekea wasomi wengi kupata msongo wa mawazo na kudharau elimu zao, pia elimu zao kuonekana hazina faida kwao na kwa jamii zao kwakuwa hazijawasaidia kujitoa kwenye umasikini (hii ni kwa wale wanaoitazama elimu kama chanzo cha kipato)
Ni kawaida pale kitu kinapoongezeka kwenye jamii kuzidi uhitaji wake huwa kinaanza kuonekana cha kawaida sana.
Ushauri wangu; kutokana na mazingira ya sasa, mzazi kama una uwezo msomeshe mtoto wako mpaka kidato cha nne na ukiona amepata kijitambua na uwezo wake ni wa kawaida sana kwenye masomo, mpe mtaji au hakikisha anapata ujuzi wowote ambao utamsaidia kuanza kupata kipato kwa kujitegemea. Elimu haina mwisho!
Yaani wewe bado mawazo wako yametawaliwa na "ELIIIIIIMUUUUUU NI UFUNGUO WA MAISHA,SHIKAMOOOOOOO MWALIMU"Hiyo sio elimu mkuu. Ni vyeti vinavyo thibitisha uwezo wa kukariri wa mtu. Elimu ni ufunguo. Ina mpa mtu uwezo wa kufungua sehemu zilizo fungwa. Ajira ni suala lililo fungwa. Elimu inatakiwa kumpa msomi husika uwezo wa kufungua eneo hilo lililo fungwa kwa kuja na majibu ya swali hilo ambalo dunia ina muuliza. Sasa kama mtu anasoma elimu ambayo haimpi uwezo wa kupata suluhisho la tatizo la ukosefu wa ajira kwanini upoteze mamilioni yako kumlipia mtoto wako kwenye shule ambayo elimu yake haimpi uwezo wa kutatua hili tatizo?
Kwanini usimsomeshe tu kwenye shule za kawaida kwa usimamizi wa karibu halafu hayo mamilioni uka invest kwenye miundombinu ya kumtafutia maarifa yatakayo mpa uwezo wa kufungua sehemu zilizo kufunga?
Joannah
Umeeleza vema Sana mkuuHiyo sio elimu mkuu. Ni vyeti vinavyo thibitisha uwezo wa kukariri wa mtu. Elimu ni ufunguo. Ina mpa mtu uwezo wa kufungua sehemu zilizo fungwa. Ajira ni suala lililo fungwa. Elimu inatakiwa kumpa msomi husika uwezo wa kufungua eneo hilo lililo fungwa kwa kuja na majibu ya swali hilo ambalo dunia ina muuliza. Sasa kama mtu anasoma elimu ambayo haimpi uwezo wa kupata suluhisho la tatizo la ukosefu wa ajira kwanini upoteze mamilioni yako kumlipia mtoto wako kwenye shule ambayo elimu yake haimpi uwezo wa kutatua hili tatizo?
Kwanini usimsomeshe tu kwenye shule za kawaida kwa usimamizi wa karibu halafu hayo mamilioni uka invest kwenye miundombinu ya kumtafutia maarifa yatakayo mpa uwezo wa kufungua sehemu zilizo kufunga?
Joannah
Kwenye hiyo paragraph yako ya mwisho unataka mwanangu akashindwe kufanya presentation huko kwenye ma international exhibition si ndio?ndio lengo lako nakuuliza?Hiyo sio elimu mkuu. Ni vyeti vinavyo thibitisha uwezo wa kukariri wa mtu. Elimu ni ufunguo. Ina mpa mtu uwezo wa kufungua sehemu zilizo fungwa. Ajira ni suala lililo fungwa. Elimu inatakiwa kumpa msomi husika uwezo wa kufungua eneo hilo lililo fungwa kwa kuja na majibu ya swali hilo ambalo dunia ina muuliza. Sasa kama mtu anasoma elimu ambayo haimpi uwezo wa kupata suluhisho la tatizo la ukosefu wa ajira kwanini upoteze mamilioni yako kumlipia mtoto wako kwenye shule ambayo elimu yake haimpi uwezo wa kutatua hili tatizo?