Farhan Jr kauliza kwanini elimu ya sasa imepungua mvuto? Majibu aliyo pewa, wanaosomesha English Mediums hawatayafurahia👇

Farhan Jr kauliza kwanini elimu ya sasa imepungua mvuto? Majibu aliyo pewa, wanaosomesha English Mediums hawatayafurahia👇

Kwenye hiyo paragraph yako ya mwisho unataka mwanangu akashindwe kufanya presentation huko kwenye ma international exhibition si ndio?ndio lengo lako nakuuliza?
We niambie hivi "J unapomsomesha mtoto wako,viende sambamba na kumuandalia miundombinu atakayo simamia baadae'
Inaonekana umekuwa too much brainwashed ma maneno ya kiingereza eeh? What is international exhibition dada angu? Mbona una waza kiutumwa utumwa na ki academic hivyo?
Muandae mtoto wako apate maarifa yatakayo muwezesha kupata suluhisho la matatizo kwenye jamii.

Atapata utajiri wake kupitia hilo suluhisho. Ukiwa na suluhisho utafuatwa wewe. U don't need to go and express yourself to anyone. Wao ndio watapaswa kuja kujielezea kwako. Acha mawazo ya kiutumwa kama hayo dada angu. Ukipata suluhisho hata kama unajua kigiriki peke yake utafuatwa ulipo
 
Hivi ukimchukuwa profesa aliyekulia na kusomea Lukuledi huko atamshinda mwingereza aliyesoma elementary education tu kwenye mambo ya kileo kama matumizi ya simu, kudafiri kwa ndege n.k? Exposure inapatika kwa kuwa exposed kwenye ulimwengu tofauti tofauti na ule uliozaliwa na siyo darasa lililo kijiji ulichozaliwa. Exposure is a broader concept encompassing the diverse range of experiences one encounters, while education specifically refers to the intentional and systematic acquisition of knowledge and skills. Upo?
Quality ya Education. Profesa hajui kutype, hajui kutumia projectors za kisasa, hajui kiingereza na hajui kutumia sound system.
Hayo ni matokeo ya quality ndogo ya elimu.
Mtu akijua hayo tulikuwa tunakuona mtaalam. Sasa hivi mtoto madogo anatype wakati zamani wizara inatangaza nafasi za kazi za typist.
Yaani unaajiri typist. Hayo ni matunda ya elimu mbovu.
 
Aliekwambia elimu inatakiwa ikupatie ajira NI Nani?tuache mawazo ya kitumwa.unahisi ulaya hawasomeshi watt wao.unadhani ulaya Kila anaemaliza shule anaajiriwa?kwa nn wanaendelea kupeleka shule watt wao?
Aliemuelewa huyu mlevi anieleweshe
 
Back
Top Bottom