Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Baada ya Mchambuzi Farhan Kihamu kuandika kuhusu Simba inavyopoteza mapato mengi kwa kushindwa kusajili Wanachama wapya jambo ambalo linasababisha ukata na kukwamisha maendeleo kwenye klabu hiyo
Meneja wa habari na mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amekuja kwenye komenti ya post ya Farhan na kumjibu
"Farhan bwanaaaa unajifanya una uchuuungu kumbe agenda yako ni kuleta chokochoko ndani ya klabu Eti timu inaangamia, Yaani timu iloyokosa ubingwa kwa mechi ya mwisho inaangamia, timu iliyocheza fainali ya Afrika inaangamia, timu ya 5 Afrika inaangamia Mdogo wangu badilisha mbinu hii ya kujifanya wewe ni Mwandishi wa Simba ili ukiandika tukuone una uchungu tumeishtukia
Wewe ni mtaalamu sana tuthibitishie kifundi na kisayansi kutoandikisha Wanachama ndio sababu ya sisi kukosa Ubingwa, Yaani tuoneshe huo uhusiano, Lakini pia wewe ni Mwandishi miaka 7 hujawahi kwenda Tume ya ushindani au RITA kuhoji mchakato wa mabadiliko umefikia wapi zaidi kulishwa maneno"
Lakini Pia Mchambuzi Farhan hakuweka Mapanga Chini nae akamjibu Ahmed Ally kwa kuandika ✍🏿
"TIMU INAANGAMIA, kwasababu Mtaji wa Hii timu ni Wanachama hii Simba ni Mali ya Umma sio wakina fulani, Simba sio Mtibwa Sugar, Kagera Sugar ama Kengold ni mali ya Wanachama hivyo kama miaka saba haisajili Wanachama hapo inastawi? Its obvious inaangamia ndio maana miaka yote Watu ni wale wale, Bakari ataitwa Beka na Joseph ataitwa Jose, mawazo mapya na mwelekeo mpya hauwezi kupatikana, ni kweli timu inaangamia, hata Mkutano Mkuu aliletwa Manzoki na Watu wakashangilia sana hii ni dalili ya timu kuangamia pia kifikra.
Kuhusu comment yako kuhusu WANACHAMA yani hili Chinga serious hujui nini kazi ya Mwanachama? Huoni thamani yake? Kwanini suala la Wanachama kusajiliwa likitajwa linakuwa kama UHAINI? Yaani ukisema kuhusu kusajili Wanachama nj kama unagusa kitu very sensitivite?
Kitu cha kuogopesha na kutisha sana? Kuna siri gani?
Kuhusu Mchakato wa Mabadiliko kukwama RITA nilishaweka wazi na Kama Mwandishi nilifanya research yangu, kama nimeongea Uongo nikosoe kwa Hoja, pinga kwa hoja na ikibidi TOENI TAARIFA KWA WANACHAMA wenye timu yao kwanini Mchakato haujakamilika, mmewahi kufanya hivyo?
MWISHO, Mimi sipaswi kugombana wala kukinzana na wewe CHINGA, wewe ni Mtu nakuhusudu sana kwa kusema hadharani ila huu mdundo sio wako, hatutaki wewe ucheze, tunamtaka MWENYEKITI au WENYEVITI wetu ndio wajibie hili, hili lipo juu sana kwako Chinga, wallahy nakwambia maana huwezi kutupa majibu tunayotaka."