Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
- Thread starter
-
- #101
Kanywe maji kwanza umeandika na kwikwi[emoji44]Acha majungu ww hayo ni masuala ya mtu binafsi kama yeye karidhika hivyo ww inakuhusu nini angalia uwasilishaji wake wa habari mengine achana nayo,unataka umpangie mtu hadi maisha aishi vipi acha uchimvi we
Sio kila kitu lazima uzungumze mimi nilidhani unazungumzia amekosea kusoma habari kumbe ni mwili wa mtu unauzungumzia huyo dada hajawahi kuwa mwembamba miaka yote yupo hivyo punguza ujuaji na maisha ya watu
Kwani ni lazima uangalie kisichokupendeza tv ziko nyingi vipi unajikera muache dada wa watuYap waache sijui Nani kawambia kwamba wanavutia kusimama pale mbele
Studio yenyewe imekaa ki local
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa na chuki binafsi tu wewe sio bure kama ni mwanamke labda amekuibia bwana na kama ni mwanaume huna tofauti na kina james delicious
We we sio bonge bana, mbona una umbo zuri tuHakuna kazi ngumu kama kupungua! Inataka moyo..mie kila nikiamka nachek barabara kama nusu saa narudi ndani..yaan nawaza niende juu au nishushe chini😄😄! Naishia kushika jembe kutoa toa majani..eish Mambo mbele kwa mbele
Nimenenepa vby mno nadhan daily kuna pound naadd! Nalala kama teja..sina chakifanya kusumbua mwili..uso umekuwa round kama wa Mpoto😄😄! Umejaa...sina hakika kama am ok! Kwenye kula sasa..coz nilimis kula vzr nafukia ile moment sikuwepo! Had watoto wanasema mama umekuwa mkubwaa😣😣😣! Yaan sifai!We we sio bonge bana, mbona una umbo zuri tu
Mbona ile picha yako unaonekana una umbo kama jaklini mengi jamani? Au macho yangu bestNimenenepa vby mno nadhan daily kuna pound naadd! Nalala kama teja..sina chakifanya kusumbua mwili..uso umekuwa round kama wa Mpoto😄😄! Umejaa...sina hakika kama am ok! Kwenye kula sasa..coz nilimis kula vzr nafukia ile moment sikuwepo! Had watoto wanasema mama umekuwa mkubwaa😣😣😣! Yaan sifai!
Nimenenepa km mara 3! Wee.. .mie ni mnene size ya kati..sijawah kuwa thin kama Jack..never! Hahaha...ulinichek vby!..arghh potelea pote!mradi pumzi😄Mbona ile picha yako unaonekana una umbo kama jaklini mengi jamani? Au macho yangu best
Poa best Acha tuambae ambae huku mitandaaoni muda uende tu maana uzee ndo huo, no usingizi at all😢Nimenenepa km mara 3! Wee.. .mie ni mnene size ya kati..sijawah kuwa thin kama Jack..never! Hahaha...ulinichek vby!..arghh potelea pote!mradi pumzi😄
Tupo wengi..karibu wine!Poa best Acha tuambae ambae huku mitandaaoni muda uende tu maana uzee ndo huo, no usingizi at all😢
Yan wewe ndo mimi kabisa, usiku wa manane kama hivi nikiamka kama nina bia zangu ndani napiga ikifika saa kumi au kumi na Moja ndo navuta blanketi nalala au kama Sina bia nachemsha Chai au Kahawa muda uende alfajiri nalalaTupo wengi..karibu wine!
Yan wewe ndo mimi kabisa, usiku wa manane kama hivi nikiamka kama nina bia zangu ndani napiga ikifika saa kumi au kumi na Moja ndo navuta blanketi nalala au kama Sina bia nachemsha Chai au Kahawa muda uende alfajiri nalala
OK best pima vyombo hivoMie sijanywa nadhan mwezi ss..nikakun
Mbuka kuna wine kuna mvua balaa
MI natamani niache kabisa pombe sijui naanzia wapMie sijanywa nadhan mwezi ss..nikakun
Mbuka kuna wine kuna mvua balaa
Mie haijawah nisumbua kbs...mie nasumbuka kuacha red meat basii! Nakaaga muda sinanywa...mie nyama jamani😄😄!maana yananenepesha balaaMI natamani niache kabisa pombe sijui naanzia wap
Samaki si zipo nyingi huko jamaniMie haijawah nisumbua kbs...mie nasumbuka kuacha red meat basii! Nakaaga muda sinanywa...mie nyama jamani😄😄!maana yananenepesha balaa
Ah ..naachaje mbuz lov😋😋! Zinakifu mapemaSamaki si zipo nyingi huko jamani
Una washwa[emoji44]?Kwani ni lazima uangalie kisichokupendeza tv ziko nyingi vipi unajikera muache dada wa watu
Si watangazaji pekee hata mitaani huku watu wengi ni wanene kupindukia( overweight) ,mfumo wa maisha umebadilika siku hz, matumizi ya magari hata kwenda bar iliyopo mita mia kutoka nyumbani mtu anaenda na gari, ongezeko kubwa la watu wenye kipato cha kati(Middle class), ulaji mbaya, kutofanya mazoezi na kutumia baadhi na njia za uzazi wa mpango hasa kwa akina mama huchangia ssna uneneNenda kawaone vibonge pia tbc grace nani sijui..kifua xxl