Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona anapendeza akiwa hivo mnene
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mi ananifurahishaga ambavo hatulii kwenye kiti akiwa anasoma taarifa
Grace kingarame, ni bonge amejazia kifua hadi rahaNenda kawaone vibonge pia tbc grace nani sijui..kifua xxl
Farhia MiddleNaam
Huyu dada huwa namkubaii sana wakati wa usomaji wa Taarifa ya habari pale ITV.
Anajiamini na uwasilishaji wake wa habari ni mzuri kwakweli
Kwangu Mimi namuona inafaa sana BBC Swahili wamchukue huyu akasadiane na akina Kikeke na Zuhura kuliko wale Wakenya na Waganda wanaoongea Kiswahili Cha ovyo pale BBC.
Dada/Mama Farhia Middle jaribu fanya mazoezi upunguze huo uzito aisee.
Nafikiri kuwa na mwili wa wastani ni moja Kati sifa nzuri ya News anchors wote
Natumaini utapita hapa na kusoma nakufanyia kazi huu ushauri wangu
Mimi nakukubali sana
Jackline Silemu na wewe jitafakari.
Sent using Jamii Forums mobile app