Farhia Middle, tafadhali we mtoto wewe!

Farhia Middle, tafadhali we mtoto wewe!

Mim nampenda sana Irene Kilenga wa EFM ananikosha sana na umbo, na umbile lake hadi umbiko
 
Imefikia kipindi nikiona tu sio wewe unayesoma taarifa ya habari basi naondoka au nabadilisha channel.

Na nilivyo mgonjwa wa big nyashi, sehemu muhimu zaidi kwangu ni pale unapogeuka na kutembea kwenda kukaa kwenye kiti ili usome taarifa kamili.

Dah, waliokuzaa wanastahili pongezi kwakweli.

Muwe na usiku mnono!
Ukute Farhia mwenyewe hata hajaona huu uzi.
Anayemfahamu amuite pls
Farhia midley
 
Back
Top Bottom