Farkina nipikie makange tafadhari

Farkina nipikie makange tafadhari

Ya kuku,ng'ombe, noah,mbuzi, samaki,pweza,ngisi,sungura ya nyama pori au ya nini bibie tafadhali dadavua
 
search humu kuna hiyo post ya makange na kama upo dar nenda break point makumbusho au rose garden utapatiwa makange ya kuku au mbuzi..

Umeshawahi kula ya dodoma pale chako ni chako kwa foil hakunaga kama yale
 
Ya kuku,ng'ombe, noah,mbuzi, samaki,pweza,ngisi,sungura ya nyama pori au ya nini bibie tafadhali dadavua

nataka ya kuku, au ng'ombe
 
amu usiongee nimewah kula makange ndo mana nataka niyapike mwenyewe tena nataka nimpikie khabibi.
 
Last edited by a moderator:
Nina idea kidogo. a.rahabu..
Kwanza unachoma nyama yako..
Ikishawiva unaandaa sijui niite rojo ama kitu gani,
unakua na kitunguu.
Nyanya
humvi
ndimu
karoti
pilipili hoho
na pilipili mbuzi kama unahitaji.
Mafuta
vikishawiva unatia nyama yako kisha unachanganyachanga pamoja..bila kutia maji
 
Last edited by a moderator:
nataka ya kuku, au ng'ombe

Kuku wa kizungu mkatatr kate muweke viuongo vikolee kama mdimu,thom,ginge, chumvi akishakolea mkaange kwenye mafuta mengi kama yake ya kukaanga chips akishakuwa brown mtoe kisha punguza mafuta bakiza kiduchu tia nyanya kata kubwa kubwa vhagua ngumu,karoti hoho vitunguu pilipili n.k funika baada kaanga itatoka rost au simple mengine naona waweka jhoho na pilipili kuku wa kienyeji mchemshe kwanza akikauka maji yia roast.
Mi ndo najipikilisha hivyo sijui ndo makange au nini
 
Nina idea kidogo. a.rahabu..
Kwanza unachoma nyama yako..
Ikishawiva unaandaa sijui niite rojo ama kitu gani,
unakua na kitunguu.
Nyanya
humvi
ndimu
karoti
pilipili hoho
na pilipili mbuzi kama unahitaji.
Mafuta
vikishawiva unatia nyama yako kisha unachanganyachanga pamoja..bila kutia maji

Upo sahihi mama
 
Last edited by a moderator:
Mwanzo nilielewa makande (japo nayo siyajui ila nishayasikia sana yakotajwa)

Yasikuchoshe kila siku unayapika sema jina na mjini yana jina as wale wa viti virefu wanavipenda sanq
 
Back
Top Bottom