Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm naomba kuuliza makange ndo nn??
search humu kuna hiyo post ya makange na kama upo dar nenda break point makumbusho au rose garden utapatiwa makange ya kuku au mbuzi..
nataka ya kuku, au ng'ombe
Mie makange siyajui jamani...ndio nawaskia leo
Nina idea kidogo. a.rahabu..
Kwanza unachoma nyama yako..
Ikishawiva unaandaa sijui niite rojo ama kitu gani,
unakua na kitunguu.
Nyanya
humvi
ndimu
karoti
pilipili hoho
na pilipili mbuzi kama unahitaji.
Mafuta
vikishawiva unatia nyama yako kisha unachanganyachanga pamoja..bila kutia maji
Upo sahihi mama
Mm naomba kuuliza makange ndo nn??
Nadhani neno "makange" ni katika upotoshaji wa kiswahili. Ni nyama, samaki, kuku wa kukaanga.
Mie makange siyajui jamani...ndio nawaskia leo
Mwanzo nilielewa makande (japo nayo siyajui ila nishayasikia sana yakotajwa)