Mrs Kharusy
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 1,244
- 671
Yasikuchoshe kila siku unayapika sema jina na mjini yana jina as wale wa viti virefu wanavipenda sanq
Ndio nimeona recipe hapo juu naona jina tu ndo tatizo!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yasikuchoshe kila siku unayapika sema jina na mjini yana jina as wale wa viti virefu wanavipenda sanq
Mimi napenda MANDI naomba nimtume mtu umfundishe.
Mtume tu MANDI naijua sana
Haya MANDI ndo nn tena?
makange nyama yoyote uipendayo. limao ,kitunguu ,chumvi ,hoho ,karoti ,nyanya 2 ,soya sosi ,honga ,tangawizi ,kitunguu thaumu ,mafuta ya kupikia . ,safisha nyama vizuri ,tia limao, chumvi kadogo,tangawazi,na kitunguu thaumu. acha kwa dk 10- 15 .weka mafuta jikoni, yakishapata moto tosa nyama ikaange mpk iwe kahawia opoa, weka pembeni.weka sufuria jikoni weka mafuta vijiko 2-4iyakipata moto weka vitunguu kanga mpk viwe brown,weka karoti,weka nyanya,weka honga,weka nyama,weka soya sos,iweka chumvi kidogo,kama utapenda weka pilipili.malizia na hoho.makange yako yatakuwa tayari kuliwa na chips,wali,au ugali.