Faru John hufai kabisa doh

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hilo jina lilipewa kwa heshima kabisa kwa faru aliekuwa na miaka mingi hapa nchini. Nadhani moja ya sifa kuu ni kukomaa kwenye shida na raha huku wenzake wakifa.

Naona jina hili limehamia kwa konyagi yetu tukufu ya bk 10"000 aka faru john. Faru john amekuwa akisaidia masikini mbali mbali kuondoa stres za dunia. Ila sasa naona amepitiliza ameanza kuwagusa hadi na wenye fedha zao.

Faru john najua unasikia hili tunaomba sisi wa kipato cha chini sihaba kutiaibisha ila wale wenye hela naomba uwaheshimu pls else mtaishia kubaki kwenye counter mpaka mseme pooh.
 
Nje ya mada mkuu, Hivi hakuna app kwa mfano mtu umeandika nyuzi yako kabla ya kuipost mitandaoni unaipeleka huko Ina haririwa halafu ndio unaipost?
 
Mtoto wa darasa la 4 anakushinda kuandika vizuri
 
Faru John haiongopi Kaka, mi nililewa nikajikuta namkata makofi bibi yangu mzazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…