Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Hilo jina lilipewa kwa heshima kabisa kwa faru aliekuwa na miaka mingi hapa nchini. Nadhani moja ya sifa kuu ni kukomaa kwenye shida na raha huku wenzake wakifa.
Naona jina hili limehamia kwa konyagi yetu tukufu ya bk 10"000 aka faru john. Faru john amekuwa akisaidia masikini mbali mbali kuondoa stres za dunia. Ila sasa naona amepitiliza ameanza kuwagusa hadi na wenye fedha zao.
Faru john najua unasikia hili tunaomba sisi wa kipato cha chini sihaba kutiaibisha ila wale wenye hela naomba uwaheshimu pls else mtaishia kubaki kwenye counter mpaka mseme pooh.