fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Siku ya kifo Chako utajutia sanaNdio fasheni sasa,kila baya kusema kalifanya abduli.Kuna watu wala hawamjui lakini watakuambia kuwa kapita hapa abduli na kabaka ng'ombe
Labda kama wewe hutakufa,ndio ntajutiaSiku ya kifo Chako utajutia sana
Kama amebaka ng'ombe hamna haja ya kuficha... Sasa mkuu hebu tupe hii habari ya abdu kubaka ng'ombeabduli kabaka ng'ombe
Hata wakati wa Awamu ya 4 ya JK kila jengo zuri ambalo watu hawakujuwa mwenyewe ni nani walikuwa wanasema ni la Ridhiwani.Ndio fasheni sasa,kila baya kusema kalifanya abduli.Kuna watu wala hawamjui lakini watakuambia kuwa kapita hapa abduli na kabaka ng'ombe
Acheni hizo fanyeni kazi,mtakufa na kihoro
Ni kweli,tuwaache tuHata wakati wa Awamu ya 4 ya JK kila jengo zuri ambalo watu hawakujuwa mwenyewe ni nani walikuwa wanasema ni la Ridhiwani.
Tumewazoea, maisha yaendelee
Abdul amechota mchele wangu ghettoHata wakati wa Awamu ya 4 ya JK kila jengo zuri ambalo watu hawakujuwa mwenyewe ni nani walikuwa wanasema ni la Ridhiwani.
Tumewazoea, maisha yaendelee
Wabongo wivu umewajaa si tunawaona makazini humu unafiki mwingi hizo ni dalili za kichawi kuchukia mafanikio ya wengineNdio fasheni sasa,kila baya kusema kalifanya abduli.Kuna watu wala hawamjui lakini watakuambia kuwa kapita hapa abduli na kabaka ng'ombe
Acheni hizo fanyeni kazi,mtakufa na kihoro
Hata kama analipwa afanye kujiuzulu hiyo kazi na atubu kwa Mungu wake amwache muhusika ajitee mwenyewe!.Vitu vingine ni kukaa kimya tu. Ni heri ungekaa kimya kuliko kutetea hivi vitu unless kama unalipwa to do so
Wewe ndie abdul au? au wewe ndie yahaya?Ndio fasheni sasa,kila baya kusema kalifanya abduli.Kuna watu wala hawamjui lakini watakuambia kuwa kapita hapa abduli na kabaka ng'ombe
Acheni hizo fanyeni kazi,mtakufa na kihoro
Ndio fasheni sasa,kila baya kusema kalifanya abduli.Kuna watu wala hawamjui lakini watakuambia kuwa kapita hapa abduli na kabaka ng'ombe
Acheni hizo fanyeni kazi,mtakufa na kihoro
Yeye akitaka asizungumziwe, ni bora akae mbali na siasa na serikali kwa ujumla kwasababu hana uongozi wowote serikaliniNdio fasheni sasa,kila baya kusema kalifanya abduli.Kuna watu wala hawamjui lakini watakuambia kuwa kapita hapa abduli na kabaka ng'ombe
Acheni hizo fanyeni kazi,mtakufa na kihoro
Hakuna cha wivu kwenye uozo kuna harufu..Wabongo wivu umewajaa si tunawaona makazini humu unafiki mwingi hizo ni dalili za kichawi kuchukia mafanikio ya wengine
Duh kabaka ng’ombe tena?Ndio fasheni sasa,kila baya kusema kalifanya abduli.Kuna watu wala hawamjui lakini watakuambia kuwa kapita hapa abduli na kabaka ng'ombe
Acheni hizo fanyeni kazi,mtakufa na kihoro
wewe ulikua unamjua huyo kabla mama ake hajawa rais wabongo acheni nongwa pambana wanao baadae waje kula jasho lako usione familia zina utajiri kuna mmoja alipambana jasho lilimtokaHakuna cha wivu kwenye uozo kuna harufu..
Mbona hatukusikia kipindi cha magu kwamba watoto wake wana hiki au kile..
Hawa jamaa imekuwa too much sasa. Kwani alifanya kosa kuwa mtoto wa rais? Wivu wa kipumbavu.Abdul amechota mchele wangu ghetto