The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Mange kasema.Hawa jamaa imekuwa too much sasa. Kwani alifanya kosa kuwa mtoto wa rais? Wivu wa kipumbavu.
Itafika wakati vijana watakosa nguvu za kiume kuwaingilia wake zao wataishia kumlaumu Abdul
penye ukweli ni kusema tu,mimi nilipwe nini wakati Mungu kanijaalia kipato,elimu,wake,watoto,nyumba nchini kwetu na nje ya nchi kwa baba yanguVitu vingine ni kukaa kimya tu. Ni heri ungekaa kimya kuliko kutetea hivi vitu unless kama unalipwa to do so
Vipi wewe? Unataka kuleta bangi za Diamond Platinum anaetukana fans wake anasema nyinyi wavivu angalieni mimi nimenunua Ferrari.Ndio fasheni sasa,kila baya kusema kalifanya abduli.Kuna watu wala hawamjui lakini watakuambia kuwa kapita hapa abduli na kabaka ng'ombe
Acheni hizo fanyeni kazi,mtakufa na kihoro
Ya ridhiwan yamezidishwa kwa abdulNdio fasheni sasa,kila baya kusema kalifanya abduli.Kuna watu wala hawamjui lakini watakuambia kuwa kapita hapa abduli na kabaka ng'ombe
Acheni hizo fanyeni kazi,mtakufa na kihoro
Mimi situkani na wala huwezi kuona hata neno moja la matusi lakini ukweli ndio huoVipi wewe? Unataka kuleta bangi za Diamond Platinum anaetukana fans wake anasema nyinyi wavivu angalieni mimi nimenunua Ferrari.
ulishawahi kuwasikia watoto wa nyerere wakitajwa popote kwa mabaya?Ndio fasheni sasa,kila baya kusema kalifanya abduli.Kuna watu wala hawamjui lakini watakuambia kuwa kapita hapa abduli na kabaka ng'ombe
Acheni hizo fanyeni kazi,mtakufa na kihoro
🤣🤣🤣🤣Hata wakati wa Awamu ya 4 ya JK kila jengo zuri ambalo watu hawakujuwa mwenyewe ni nani walikuwa wanasema ni la Ridhiwani.
Tumewazoea, maisha yaendelee
Of course ndo fasheni iliyobaki ya malofa, maskini, wajinga, wapumbavu, nyumbu, haters, wenye udini, wenye ukanda na wasiotaka kufanya kazi/kujituma. Hao ni WA kuwapotezea tu kama anavyofanya mwamba JKNdio fasheni sasa,kila baya kusema kalifanya abduli.Kuna watu wala hawamjui lakini watakuambia kuwa kapita hapa abduli na kabaka ng'ombe
Acheni hizo fanyeni kazi,mtakufa na kihoro
Eti takataka kama hii ndo inataka kuanzisha bifu na Samia🤣🤣🤣🤣Rudisha pumbu zetu ww tumpe chemical maana ww taarabu nyingi
Ila Kuna watu mmeoza akili aisee!!Vitu vingine ni kukaa kimya tu. Ni heri ungekaa kimya kuliko kutetea hivi vitu unless kama unalipwa to do so
Ni kweli yalikuwa ya Riz .Hata wakati wa Awamu ya 4 ya JK kila jengo zuri ambalo watu hawakujuwa mwenyewe ni nani walikuwa wanasema ni la Ridhiwani.
Tumewazoea, maisha yaendelee