Fashion mpya ya Vanessa Mdee

Fashion mpya ya Vanessa Mdee

Vip kama hio photoshoot ya tangazo la nguo za wadada ila wewe kwa ushangingi wako kutembelea vyumba vya wadada matokeo yake unaona vitu vyaajabu
 
Daaa kiukwel huyu demu mm simuelewag kabsa,alipata bahat sana kuwa na mnyama jux,kakomaa mno
 
Penye ukweli lazima pasemwe huyu mwanadada Vanesa Mdee hayupo sexy kabisa yani havutii kabisa akivaa nusu utupu tofauti na mastaa wenzake wa kike.

Sijawahi kuona Vanesa kapost picha amevaa chupi akapendeza zaidi ya kujichoresha tu maana mvuto kwake ni zeroo kabisa na kwa mwendo huu ataishia kumegwa na kutemwa

Huyu Vanesa licha ya kuwa na mwili usiovutia hata jikoni ni zero kabisa ,sasa kuoa mwanamke kama huyu ni hasara maana kupika hajui, mwili wa kuvutia hana ,tako hana , tena si ajabu hata kwenye sita kwa sita ukakuta ni gogo kabisa.

View attachment 1210902
ageuke nyuma tuukague msambwanda
 
Poleni SANA, kwa kumsema hapa na kupoteza muda wenu kwenye akaunti zenu hamna hela zilizoingia, ila yeye naamini wiki hii tu ameingiza mamilioni, na zaidi anapata madili makubwa ya kua judge kwenye East African got talent, it is not the matter of body or beauty but brains, kama brain hamna kitu basi wewe hauna manufaa kuishi, hao wenye matako makubwa na uzuri wa kuchorwa ambao. Hawajui hata kusema neno hi! au kusalimia salamu ya asubuhi kwa kiingereza, wao wana nini cha ziada zaidi maumbo yao ya kutengeneza kwa mchina?
 
Kakunyang’anya danga unamalizia machungu hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom