Fashion za waimba kwaya

Fashion za waimba kwaya

Kuna muimbaji binafsi anaitwa "NEEMA CIZUNGU NELLY" KIDOGO NDIO nmeona mavazi yake kwenye nymbo nyngi yapo kama yale ya south Africa. Wengne sare zao zinashonwa ili waonyeshe hipsi zao tu, na makalio
 
Hili suala ni changamoto sana, kuna namna wanavaa hawapendezi kwa kweli hadi wanaharibu video zao.
 
Hahahaa... Shati la kumetameta, kuna mkaka flani hivi ukimwona mjanja mjanja maneno, maongezi yake ya kijanja ila fashion imemshinda natamani kumshauri ila ana mke na mkewe ni rafiki yangu.

Wakati mwingine wanawake tuwe creative na waume zetu, yan una mume kijana afu anavaa kizee au kibitoz nyangema afu na ww unamtizama tu na kujiona sistaduu!!!
 
Huenda nae anaogopa kumshauri mumewe labda anamkoromeaga

Ujue wengine wanaishi na waume zao kama baba zao[emoji85]
 
Yaani hiyo mimeto meto ndio huwa siielewi kabisa.
 
Back
Top Bottom