Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Hakuwa serious na Dada wa watu[emoji19]Yaani nimecheka..eti ukamwacha gf kwa jaribio la kutoa zawadi ya shati ya kung'aa....ahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuwa serious na Dada wa watu[emoji19]Yaani nimecheka..eti ukamwacha gf kwa jaribio la kutoa zawadi ya shati ya kung'aa....ahahaha
Za masiku tele mwallu!Yaani nimecheka..eti ukamwacha gf kwa jaribio la kutoa zawadi ya shati ya kung'aa....ahahaha
Huenda nae anaogopa kumshauri mumewe labda anamkoromeagaHahahaa... Shati la kumetameta, kuna mkaka flani hivi ukimwona mjanja mjanja maneno, maongezi yake ya kijanja ila fashion imemshinda natamani kumshauri ila ana mke na mkewe ni rafiki yangu.
Wakati mwingine wanawake tuwe creative na waume zetu, yan una mume kijana afu anavaa kizee au kibitoz nyangema afu na ww unamtizama tu na kujiona sistaduu!!!
Huenda nae anaogopa kumshauri mumewe labda anamkoromeaga
Ujue wengine wanaishi na waume zao kama baba zao[emoji85]
.......
Niliwahi kumuacha msichana wangu mapemaa kwa jaribio la kutaka kumletea mdogo wangu shati kama hilo kwenye mahafali
We acha tu,ukitaka kumshauri kitu unajifikiria mara tatu tatu kwanza. Hawana ule urafiki ni mwendo wa kijeda tuUmeona eeh, kuna wanaume wengine hawasomeki. Wametawaliwa na mfumo dume...
Nzuri asee...habari yako?Za masiku tele mwallu!
Salama mrembo,tumepoteanaNzuri asee...habari yako?
We acha tu,ukitaka kumshauri kitu unajifikiria mara tatu tatu kwanza. Hawana ule urafiki ni mwendo wa kijeda tu
Yewoomii! Hapo ni kasheshe ingine sasa[emoji134]Hasa ukute katokea ire kanda yetu ire...!!!
Kwa wasabato hapana!Nyumba za ibada ni full disco.