Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Baraka za muumba wa Mbingu na ardhi zikawe nanyi daima.
Jamani naomba kuuliza..hv unaweza vaa harusini (mwanamke) Suruali ya kitambaa?yaani nivae suruali na top na kikoti juu?
Nina harusi leo ya kisabato lakini kila nikiangalia nguo naona nawaleta majaribuni hawa watu wa Mungu(hii nimealikwa jana tu) hvyo sina sare
Wajuzi wa mambo nishaurini hapa km hamtajali..mfano wa ninavyotaka kuvaa ni kama kama hvi👇