Fashionista: Aina ya nguo hii inafaa kuvaliwa harusini?

Baraka za Muumba wa Mbingu na ardhi zikawe nanyi daima...

Jamani naomba kuuliza..hv unaweza vaa harusini (mwanamke) Suruali ya kitambaa??yaani nivae suruali na top na kikoti juu??

Nna harusi leo ya kisabato..lakini kila nikiangalia nguo naona nawaleta majaribuni hawa watu wa Mungu!(hii nimealikwa jana tu) hvyo sina sare ..!

Wajuzi wa mambo nishaurini hapa km hamtajali..

mfano wa ninavyotaka kuvaa ni kama kama hvi[emoji116]View attachment 1108426
Mtamu
 
yaan nashangaa mnaifanya misambwanda km big deal..mtu uwe na msambwanda alafu huna mbele wala nyuma[emoji57][emoji57][emoji57]..msambwanda uendane na kuzitaft hela mzee baba
Kumbe msambwanda wenye hela ni mzuri zaidi. Kuna wanaume wana misambwanda pia ukumbuke.
 
Baraka za Muumba wa Mbingu na ardhi zikawe nanyi daima...

Jamani naomba kuuliza..hv unaweza vaa harusini (mwanamke) Suruali ya kitambaa??yaani nivae suruali na top na kikoti juu??

Nna harusi leo ya kisabato..lakini kila nikiangalia nguo naona nawaleta majaribuni hawa watu wa Mungu!(hii nimealikwa jana tu) hvyo sina sare ..!

Wajuzi wa mambo nishaurini hapa km hamtajali..

mfano wa ninavyotaka kuvaa ni kama kama hvi👇View attachment 1108426
1 Timotheo 2:9 Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani;
 
nilijistiri vyema mkuu
 
Sio mm..kulikoni...mavazi haya niloyovaa yameendana hapa..
Kwa uchunguzi wangu nimejiridhisha ni ww mkuu,

Vazi lolote linalokutoa smart ukapendeza we vaa tu maana tunavaa ili tupendeze na sio kumechisha na mazingira.
 
Back
Top Bottom