Fashionista: Aina ya nguo hii inafaa kuvaliwa harusini?

Mi nimeona uzi umependeza tu kwa picha ila kilichoongelewa sijaelewa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Baraka za Muumba wa Mbingu na ardhi zikawe nanyi daima...

Jamani naomba kuuliza..hv unaweza vaa harusini (mwanamke) Suruali ya kitambaa??yaani nivae suruali na top na kikoti juu??

Nna harusi leo ya kisabato..lakini kila nikiangalia nguo naona nawaleta majaribuni hawa watu wa Mungu!(hii nimealikwa jana tu) hvyo sina sare ..!

Wajuzi wa mambo nishaurini hapa km hamtajali..

mfano wa ninavyotaka kuvaa ni kama kama hvi👇View attachment 1108426
Mkuu Hongera Sana
Naomba Usinisahau Kwenye Ufalme Wako
Yaani Umependeza Acha Tu
Naunga Mkono Hoja
Tafadhali Jitahidi Sana Uje PM
 
Mimi ulinikwaza sana nilikushangaa sana..duh..niyarekebisha asbh .ila iwe yenyewe...!how come mzee baba unasahau vitu vya muhimu namna hii
Sijasahau ila mambo tu ya uandishi ndio ikazua tafrani, daaah... ukaamua kunikunjia ile ile,
 
hiyo picha imenifanya nisahau ata natakiwa kushauri juu ya suala gani...ok anyway ushauri wangu ni kua ni kweli protini inavirutubisho vingi
 
Vaa kama Mother Theresa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Baraka za Muumba wa Mbingu na ardhi zikawe nanyi daima...

Jamani naomba kuuliza..hv unaweza vaa harusini (mwanamke) Suruali ya kitambaa??yaani nivae suruali na top na kikoti juu??

Nna harusi leo ya kisabato..lakini kila nikiangalia nguo naona nawaleta majaribuni hawa watu wa Mungu!(hii nimealikwa jana tu) hvyo sina sare ..!

Wajuzi wa mambo nishaurini hapa km hamtajali..

mfano wa ninavyotaka kuvaa ni kama kama hvi[emoji116]View attachment 1108426
Vazi makini sana tupia
 
Back
Top Bottom