Fashionista: Aina ya nguo hii inafaa kuvaliwa harusini?

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Posts
34,962
Reaction score
70,576
Baraka za muumba wa Mbingu na ardhi zikawe nanyi daima.

Jamani naomba kuuliza..hv unaweza vaa harusini (mwanamke) Suruali ya kitambaa?yaani nivae suruali na top na kikoti juu?

Nina harusi leo ya kisabato lakini kila nikiangalia nguo naona nawaleta majaribuni hawa watu wa Mungu(hii nimealikwa jana tu) hvyo sina sare

Wajuzi wa mambo nishaurini hapa km hamtajali..mfano wa ninavyotaka kuvaa ni kama kama hvi👇



 

Attachments

  • 20190526_164107.png
    43.1 KB · Views: 67
Vaa tuu shogaa...sidhani kama italeta shida...tena utadamshi tuu na huo msambwanda wakoo🤗


Ila kama ni wasabato wa galatia shogaangu vaa tuu gauni lako la kitchenparty...


😁😁😁..Yaan ni adabu na heshima..wamesema tupige vigelegele vya Uungu😂😂sio vya kimataifa😁😁sherehe saa 3 mwisho😅😅..mie kmyaa
 
Kwahiyo huyu ni ww mkuu??? Tuanzie hapo kwanza
 

Ungeshona iingine tu kama hiyo lakini isikubane sana yaani chini kama bwanga fulani hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…