Fashionista: Aina ya nguo hii inafaa kuvaliwa harusini?

Mtamu
 
yaan nashangaa mnaifanya misambwanda km big deal..mtu uwe na msambwanda alafu huna mbele wala nyuma[emoji57][emoji57][emoji57]..msambwanda uendane na kuzitaft hela mzee baba
Kumbe msambwanda wenye hela ni mzuri zaidi. Kuna wanaume wana misambwanda pia ukumbuke.
 
1 Timotheo 2:9 Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani;
 
1 Timotheo 2:9 Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani;

nilijistiri vyema mkuu
 
Sio mm..kulikoni...mavazi haya niloyovaa yameendana hapa..
Kwa uchunguzi wangu nimejiridhisha ni ww mkuu,

Vazi lolote linalokutoa smart ukapendeza we vaa tu maana tunavaa ili tupendeze na sio kumechisha na mazingira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…